BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,913
Leo katika maadhimisho ya mei mosi amesema deni la PSFP tsh trilioni 6 lisiwatie hofu wafanyakazi kwani,wakati mfuko unaanzishwa serikilai ilitoa tsh 10bilioni,na sasa wameamua kila mwaka walipe 50 bilioni kwa PSFP.wafanyakazi wasiwe na hofu pesa zao watalipwa!Maoni yangu:-Haya mashirika kutumikia siasa kwa mtindo wa majibu ya wanasiasa kama JK,ndiyo yalifanya hata yale mashirika ya miaka ya nyuma kufa kwa utaratibu huu wa kuishi kwa matumaini bila kuzingatia hali halisi ya vitabu vya kihasibu