Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Jioni ya leo chadema kimemteuwa Adriani Tizeba kugombea udiwani kata ya Lugata kisiwani Kome jimbo la Buchosa Wilaya ya Sengerema. Hapo kabla Adrian tizeba alikuwa diwani kupitia CCM na...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Ndiyo wanabodi . Katika kuendeleza vuguvugu la mabadiliko ( M4C ), jioni hii Makamanda toka wilayani geita chini ya Kamanda Rogerz Mwana wa Luhega, mbunge kivuli jimbo la geita watapiga...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa makini mjadala wa bajeti ya maliasili na hasa hotuba ya MH. MSIGWA (MB) wa IRINGA mjini kumtaja waziwazi katibu mkuu wa chama cha mapinduzi kuwa anahusika katika biashara ya meno...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Heshima kwenu wanajf. Sasa tukubali kwamba CCM badala ya kutimiza adhima yetu watanzania ya kupigana na kuwashinda maadui wetu - umaskini, ujinga na maradhi CCM imejenga urafiki wa "pete na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana CDM na wapenda Maendeleo wote wa Morogoro, ninakusudia kugombea Ubunge jimbo la Morogoro Mjini mnamo 2015. Tunahitaji mabadiliko Morogoro na haya yanahitaji ushupavu na weledi unaogusa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wapenzi na wanaCHADEMA wanatoka kwenye hayo maeneo...tunawakaribisha kwenye vikao vya maandalizi ya uzinduzi wa kanda ya kusini kwa dar vinafanyika kila jmosi makao makuu saa 9:00 jioni.
0 Reactions
91 Replies
7K Views
WanaJF, naomba maoni yenu na kueleweshwa vizuri kuhusiana na hili swala. --- Mgawanyo wa ruzuku kwa vyama vya siasa hapa nchini Tanzania ukoje? --- Vyanzo vya ruzuku hizi ni nini? ---...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
JINAMIZI la kashfa za ufisadi limeendelea kuwaandama Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye sasa ni Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CHADEMA INATAKA KUJITOA MCHAKATO WA KATIBA Kama ni mfuatiliaji wa siasa zetu chama kikuu cha upinzani Tanzania chadema walipendekeza tuwe na katiba mpya kwani iliyopo inamapungufu na hoja kama...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Hakuna asiye jua siasa ktk vyuo vikuu vya tanzania zilipigwa malufuku baada ya kuona chadema ni tishio kwa chama tawala. Ukweli ni kwamba chadema munavijana wengi sana vyuon likini hatuoni mipango...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali ya kujiandaa rasmi na pilika za kugombea urais 2015,Edward Lowasa katika kikao chake cha Ndani alichokifanya na wazee wa Mtwara wakati akipita kuelekea kwenye mazishi ya kifo cha...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
uchaguzi wa rais, madaraka ya rais na kinga ya rais
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanabodi, Huwa natatizika sana pale ninaposikia kuhusu serikali kuingia mikataba ya madini na makampuni ya nje kwa kukubali ilipwe mrahaba wa 3%! Kiasi cha mgao ambacho kwa macho...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kasema serikali ilikuwa inalifahamu hilo jambo hata kabla ya Freeman Mbowe hajalisema Bungeni. Serikali ilikua imeshaanza kulifanyia kazi kupitia chombo chake cha kiintelejensia. Anasema...
1 Reactions
92 Replies
8K Views
THEN Mr. Rajoelina became the mayor of Antananarivo in December 2007, besting the candidate from the president's party. Eventually, he projected himself as the people's champion against Mr...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Ndg. Mimi nandani lugha ya huu ni huu upande wa Upinzani na huu ni wa tawala zina kwa kiasi fulani vina-provoke ushindani na mijadala ya win-loose ambayo haina maana kwa taifa. Mfano. Sisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu watanzania wenzangu tukae chini na kutafakari tishio la chama kimoja kati ya vyama 20 nchini mwetu. Hiki chama kinajifanya ni chaguo la wananchi nchini Tanzania, wakati uhalisia chama hiki...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Serikali kupitia wizara ya ulinzi na JKT imesema kuanzia sasa utaratibu wa majeshi kuajiri raia na kuwapeleka kwenye mafunzo utasitishwa na utaanza utaratibu mpya wa kuajiri kutoka JKT. Uamuzi huo...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Mimi ni dereva wa mgari makubwa (roli). Kwa takriban miaka kumi na saba sasa. Kutokana na kazi hii huwa napita njia zote za Tanzania hii. Na mara nyingi naingia nchi za jirani pia. Mabadiliko ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kipondi ndio kinaanza tufatilue kama wachangiaji watakuwa na hili la tembo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…