Nahodha - Marufuku majeshi yetu kuajiri raia

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Serikali kupitia wizara ya ulinzi na JKT imesema kuanzia sasa utaratibu wa majeshi kuajiri raia na kuwapeleka kwenye mafunzo utasitishwa na utaanza utaratibu mpya wa kuajiri kutoka JKT. Uamuzi huo umetolewa na Waziri Nahodha ambaye pia ametoa wito pia kwa wizara ya mambo ya ndani kuagiza jeshi la polisi, magereza na zimamoto kuajiri wahitimu wa JKT na kuachana na utaratibu wa kuajiri raia wa kawaida.
 
Ni angalizo jema, JKT wanapikwa kizalendo na kujua maadili na miiko ya kiutumishi kabla ya kuingia kwenye majeshi/vikosi husika.

Kiusalama, itawasaidia na kuwajenga zaidi.
 
Hii safi sana itapunguza longolongo nyingi sana zilizopo. Safi mheshimiwa Nahodha
 
upuuzi tu!hivi mimi nikija na utaalamu wangu wa kipekee utanitaka niende JKT kupoteza muda ndio uniajiri?
hizi ni mbwembwe tu zilizokosa mashiko.....sijui tunataka kuachieve nini?wenzetu wanaimarisha weledi wa kijeshi sisi tunaongeza miguvu isiyokuwa na tija.
 
jeshi linahitaji wataalamu kwa mfano wahandisi, wahasibu, wanasheria, waandishi, madaktari etc.

Kwa utaratibu mpya ina maana kama wewe ni daktari na unataka ajira JWTZ huna budi kupita JKT kwanza ukale kwata, ndo ufikiriwe kama unaweza kukidhi vigezo vya kuajiriwa JW. Duuh!
 
Hamna kiyu hapo. Wenye utaalam mkubwa huwa hawashobokei JKT. Labda jeshi liweke utaratibu wa kusomesha maaskari wake.
 
upuuzi tu!hivi mimi nikija na utaalamu wangu wa kipekee utanitaka niende JKT kupoteza muda ndio uniajiri?
hizi ni mbwembwe tu zilizokosa mashiko.....sijui tunataka kuachieve nini?wenzetu wanaimarisha weledi wa kijeshi sisi tunaongeza miguvu isiyokuwa na tija.

Nadhani kuweke utaratibu pia wa kuajiri wataalam lakini sio JKT iwe kigezo,tutakua na Jeshi mbulula baadae hata katika maamuzi ndani ya majeshi
 
upuuzi tu!hivi mimi nikija na utaalamu wangu wa kipekee utanitaka niende JKT kupoteza muda ndio uniajiri?
hizi ni mbwembwe tu zilizokosa mashiko.....sijui tunataka kuachieve nini?wenzetu wanaimarisha weledi wa kijeshi sisi tunaongeza miguvu isiyokuwa na tija.
Maneno maneno bongo ndo zetu!
 
upuuzi tu!hivi mimi nikija na utaalamu wangu wa kipekee utanitaka niende JKT kupoteza muda ndio uniajiri?
hizi ni mbwembwe tu zilizokosa mashiko.....sijui tunataka kuachieve nini?wenzetu wanaimarisha weledi wa kijeshi sisi tunaongeza miguvu isiyokuwa na tija.
hata ukienda huko na utaalamu unaofikiria kuwa ww ni muhimu kuliko watanzania wote kama unataka mzigo ni lazima ukahenye jkt
 
Serikali kupitia wizara ya ulinzi na JKT imesema kuanzia sasa utaratibu wa majeshi kuajiri raia na kuwapeleka kwenye mafunzo utasitishwa na utaanza utaratibu mpya wa kuajiri kutoka JKT. Uamuzi huo umetolewa na Waziri Nahodha ambaye pia ametoa wito pia kwa wizara ya mambo ya ndani kuagiza jeshi la polisi, magereza na zimamoto kuajiri wahitimu wa JKT na kuachana na utaratibu wa kuajiri raia wa kawaida.
Hata madaktari?
 
naona unazalendo kwanza mengine baadae safi sana.
 
hatuna viongozi hapo ila tuna la waota ndoto si ajabu leo wataamua kesho watabadilisha mawazo,pumbavi!
 
hatuna viongozi hapo ila tuna kundi la waota ndoto za alinacha,si ajabu leo wataamua hiki kesho watabadilisha mawazo,pumbavu!
 
kwa yeyote aliyetazama uwasilishaji wa bajeti ya wizara ya Ulinzi atakubaliana na mimi kuwa vuai ni waziri wa pekee na nitofauti na mawaziri wengine!
 
Tanzania nchi ya vigeugeu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom