Mwanasheria Mkuu wa Serikali asema yeye hana Chama

sokoinei

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,832
Reaction score
566
Akichangia hotuba ya Waziri wa Sheria na Katiba alianza kusema kwamba niliwahi tena kusema kuwa mimi sio mwanachama wa Chama chochote.
Baada ya baadhi ya Wabunge kuanza kumcheka,akasema kwamba sijasema kua sijawahi kua mwanachama wa chama chochote!!

Lakini pia akipinga Hoja ya Mnadhimu wa kambi ya Upinzani Bungeni alisema kwamba Bungeni sio mahala pa kulalamika kwani anaona baadhi ya Wabunge wakifanya Bunge kama sehemu ya kuleta Malalamiko.

Akijibiwa na Tundu Lissu alisema kua Bunge ndipo sehemu sahihi ya kuleta malalamiko na Kazi ya Bunge ni kuisimamia na Kuokosoa Serikali.

Swali: 1. je ni kweli Mwanasheria wa Serikali hana Chama kama anavyodai?

Swali: 2. Ni kweli Bungeni sio mahala pa kupeleka Malalamiko?
 
Hayo ni madhara ya rais kuteua watu kulingana mamalaka yake. Hana chama lakini inajulikana yupo kuitetea serikali ambayo ndiyo iliyomuweka hapo
 
Kwa sasa Tanzania ni kama hakuna BUNGE kwani limekuwa kama idara ndani ya Serikali na kinachoonekana kwa sasa nchi yetu imebaki na mihimili miwili tu; Serikali ambayo imelimeza bunge na Mahakama.
 
Hana chama kwa sababu yuko kuitetea serikali ambayo huko mwanzo ndo alikuwa akifanyia kazi chama ambacho kipo madarakani na inawezekana walimuona kuanzia huko
 
Akichangia hotuba ya Waziri wa Sheria na Katiba alianza kusema kwamba niliwahi tena kusema kuwa mimi sio mwanachama wa Chama chochote.
Baada ya baadhi ya Wabunge kuanza kumcheka,akasema kwamba sijasema kua sijawahi kua mwanachama wa chama chochote!!

Lakini pia akipinga Hoja ya Mnadhimu wa kambi ya Upinzani Bungeni alisema kwamba Bungeni sio mahala pa kulalamika kwani anaona baadhi ya Wabunge wakifanya Bunge kama sehemu ya kuleta Malalamiko.

Akijibiwa na Tundu Lissu alisema kua Bunge ndipo sehemu sahihi ya kuleta malalamiko na Kazi ya Bunge ni kuisimamia na Kuokosoa Serikali.

Swali: 1. je ni kweli Mwanasheria wa Serikali hana Chama kama anavyodai?

Swali: 2. Ni kweli Bungeni sio mahala pa kupeleka Malalamiko?

Hapo kwenye Red...... ni kweli Mwanasheria Mkuu hana chama. Ila Fredrick Werema ni Kada wa CCM, na anaitumikia kwa moyo wake wote!
 
AG anataka kumdanganya nani kwamba hana chama? Bila shaka amejishtukia kwamba amegeuka kuwa mwanasiasa uchwara badala ya kufanya kazi yake aliyoteuliwa kuifanya.

Werema ni kichefuchefu kwakweli. Mtangulizi wake Johnson Mwanyika alikuwa na afueni kidogo!
 
Akichangia hotuba ya Waziri wa Sheria na Katiba alianza kusema kwamba niliwahi tena kusema kuwa mimi sio mwanachama wa Chama chochote.
Baada ya baadhi ya Wabunge kuanza kumcheka,akasema kwamba sijasema kua sijawahi kua mwanachama wa chama chochote!!

Lakini pia akipinga Hoja ya Mnadhimu wa kambi ya Upinzani Bungeni alisema kwamba Bungeni sio mahala pa kulalamika kwani anaona baadhi ya Wabunge wakifanya Bunge kama sehemu ya kuleta Malalamiko.

Akijibiwa na Tundu Lissu alisema kua Bunge ndipo sehemu sahihi ya kuleta malalamiko na Kazi ya Bunge ni kuisimamia na Kuokosoa Serikali.

Swali: 1. je ni kweli Mwanasheria wa Serikali hana Chama kama anavyodai?

Swali: 2. Ni kweli Bungeni sio mahala pa kupeleka Malalamiko?
CHAMA ANACHO NA UKITAKA KUKIJUA JIULIZE CHENGE WAKATI AKIWA A.G ALIKUWA NA CHAMA GANI NA SASA YUKO CHAMA GANI KILICHOMUINGIZA BUNGENI. Unafiki mtupu wapo kwa maslahi ya chama kilicho wateua kushika nafasi hizo
 
werema anajua aliposimamia ndio maana anaboa kumsikiliza ni vyema wanataaluma wenzie wamshaur aache unafiki na kujipendekeza,mamula huwa hawako hivyo.
 
Akichangia hotuba ya Waziri wa Sheria na Katiba alianza kusema kwamba niliwahi tena kusema kuwa mimi sio mwanachama wa Chama chochote.
Baada ya baadhi ya Wabunge kuanza kumcheka,akasema kwamba sijasema kua sijawahi kua mwanachama wa chama chochote!!

Lakini pia akipinga Hoja ya Mnadhimu wa kambi ya Upinzani Bungeni alisema kwamba Bungeni sio mahala pa kulalamika kwani anaona baadhi ya Wabunge wakifanya Bunge kama sehemu ya kuleta Malalamiko.

Akijibiwa na Tundu Lissu alisema kua Bunge ndipo sehemu sahihi ya kuleta malalamiko na Kazi ya Bunge ni kuisimamia na Kuokosoa Serikali.

Swali: 1. je ni kweli Mwanasheria wa Serikali hana Chama kama anavyodai?

Swali: 2. Ni kweli Bungeni sio mahala pa kupeleka Malalamiko?

Werema ni mwepesi mno,nadhani hata Chenge ni mzuri kwenye sheria kuliko Werema,ilo liko wazi!AG anakimbilia matusi badala ya ufafanuzi na hoja za kisheria,what a shame!
 
Katika wanasheria waliokwisha pita tanzania awamu hii tuna mwanasheria mpumbavu kabisa!
 
wABUNGE WA ccm Bure kabisa hoja za serikali kujibu na wabunge wanajibu. PINDI chana leo kajifanya serikali kujibu hoja za kambi ya Upinzani. yaani minbunge ya CCM hadi kichefuchefu
 
Akichangia hotuba ya Waziri wa Sheria na Katiba alianza kusema kwamba niliwahi tena kusema kuwa mimi sio mwanachama wa Chama chochote.
Baada ya baadhi ya Wabunge kuanza kumcheka,akasema kwamba sijasema kua sijawahi kua mwanachama wa chama chochote!!

Lakini pia akipinga Hoja ya Mnadhimu wa kambi ya Upinzani Bungeni alisema kwamba Bungeni sio mahala pa kulalamika kwani anaona baadhi ya Wabunge wakifanya Bunge kama sehemu ya kuleta Malalamiko.

Akijibiwa na Tundu Lissu alisema kua Bunge ndipo sehemu sahihi ya kuleta malalamiko na Kazi ya Bunge ni kuisimamia na Kuokosoa Serikali.

Swali: 1. je ni kweli Mwanasheria wa Serikali hana Chama kama anavyodai?

Swali: 2. Ni kweli Bungeni sio mahala pa kupeleka Malalamiko?
Kachelewa sana huyu mwehu.yupo naivy sana.inaelekea hata mwenyewe hakuwa akijiamini hadi magamba walipoanza mfagilia na baadae cdm wakamgeuza kengele ya kuanzia wabana magamba.kila akianza vioja ndipo cdm wanavyomkumbusha vinfungu ambavyo hili ----- halikujua kuwa vinatumika na ni wapi.

Sasa hivi ndipo linajitambua kuwa lilipaswa onyesha kwa vitendo kuwa haliathiriwa na mapenzi kwa chama.

Ni kwamba halijui wapi pa kuapply vifungu vya sheria?km fundi seremala anayejua randa tuu cila kujua vitu km nyundo na matumizi yake.
 
Kuna watu wanadhani bichwa ni kwa ajili ya kufuga nywele. Hayo ndo alivuo AG.
 
Anasema hana Chama ilikuwaje akamkatia Rufaa mbunge wa Sumbawanga mjini Haeshi?
 
Tuvute subira kidogo tu,utamsikia tena mwenyewe akiropoka na kusahau aliyosema kuwa hana chama,sio mbali kitambo kidogo tu!......bingwa wa kuropoka,asiye na busara kama Mulongo!
 
Anasema hana Chama ilikuwaje akamkatia Rufaa mbunge wa Sumbawanga mjini Haeshi?

Haya yanatokea Tanzania tu, mwanasheria wa serikali kufanya kazi ya advocate wa chama !
Labda wanasheria watuambie kama ni sahihi.
Kuna siku tutasikia na jaji mkuu akiwa advocate wa chama pia.
 
Back
Top Bottom