Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tukio la mlipuko wa Bomu katika jiji la Arusha ambalo lililenga kusanyiko la viongozi na waamini wa Kanisa katoliki mbele ya uwepo wa Mwakilishi wa Papa limezua taharuki, masikitiko, vilio na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anasema kuna wanasiasa wanasiasa wanatafuta umaarufu kupitia maisha ya watanzania. Amesema serikali isilaumiwe kama itawashughulia wanasiasa wa aina hiyo. Anashindwa kmshukuru Mh LEMA na Mh...
2 Reactions
123 Replies
9K Views
Mchungaji Martin ni mtu maarufu sana aliyeishi kipindi cha utawala wa Dikteta Adolf Hitler na kuona madhila ya utawala wa kibabe nchini Ujerumani kipindi cha kuelekea vita kuu ya pili ya dunia...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna habari zimezagaa Kiomboi, Iramba kwamba yule Mwenyekiti wa CHADEMA wa Iramba aliyenunuliwa na Mwigulu na kutoka kwa mbwembwe anarejea CHADEMA leo baada ya kushindwa ku-fit katika utamaduni...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
AMANI YA TANZANIA KITANZINI kwa mala nyingine Tz kama nchi ipo kwenye majaribu makubwa kabisa ya kulinda na kuitetea Amani yetu,vitendo vya mauaji,utesaji vinaelekea kuwa ni ibada ya kila siku ya...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
ANGALIA PICHA ZA LWAKATARE AKIWA MAHAKANINI LEO AMBAPO KAFUTIWA MASHITAKA YA UGAIDI Lwakatare akimkumbatia kwa furaha wakili wake, Peter Kibatara, baada ya kufutiwa mashitaka ya...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Mh Samuel Sitta akijibu hoja ya Mbatia bungeni, amesema kuwa mgogoro mkubwa wa kuchinja ulikua kwa kasi baada ya upande mmja kudai kuwa kuchinja ni ibada. Na amewataka wabunge kusubiri...
2 Reactions
88 Replies
7K Views
Wakubwa karibuni sana Monduli wilaya moja ya ajabu sana, vijana wote waliosoma na wenye shahada na kuendelea unalazimishwa uende kwa Lowassa, wenyeviti wa viijiji wilaya ya ya Monduli wana majina...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Alikuwa akihitimisha hoja za wabunge kuhusu Bajeti yale masaa sita yaliyopita. Alifika mahala siku hizi taarifa za meseji za simu ni nyingi kuliko maelezo na yeye kama Waziri na hata IGP...
1 Reactions
66 Replies
6K Views
  • Closed
JF.......! Maimamu wa jijini dar-es-Salaam wamefanya dua ya kuwaombea wananchi wa Arusha walioathirika na ajali ya tukio la bomu mkoani Arusha. My otulook! Nimependa sana umoja na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Dodoma/Arusha. Wakati maofisa wa Shirika la Upelelezi wa Marekani (FBI) wametua Arusha, raia wanne wa Saudi Arabia na Watanzania wawili wamekamatwa kwa tuhuma za kuhusika kulipua bomu lililoua...
3 Reactions
113 Replies
10K Views
Tanzanians should wake up and accept the fact that the nature of our 'open society' has now changed. It is almost impossible to reverse this trend now. We can no longer live and act as if...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa mda mwingi huwa nawashangaa wabunge wa CCM na hii mawaziri kwa kulalamikia kua wapinzani hasa CHADEMA wanatumia bunge kama sehemu ya kujipatia umaarufu.. Ila nimejaribu kufatilia kwa umakini...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Niukweli usiopingika kuwa siku zote Binadamu huhitaji kupata taarifa mbalimbali za kweli na zisizochakachuliwa. Hapa Tanzania chombo cha habari chenye wigo mpana kimaeneo (coverage) ni TBC. Hata...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
habari wana jamii forum, kwa wale wanaofuatilia bunge let mtakuwa mmegundua kua waziri mkuu alipotoka bungeni kwenda arusha alimuachia mh. Sitta bunge.Je mnaonaje jinsi Mh. Sitta anavyojibu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tunasubiri tamko la Muadhama Kardinal Polycap Pengo,Tunasubiri tamko la Alex Malasusa, Tunahitaji tamko la Valentino Mokiwa..Wakristo tunajiona Wapweke sana VIONGOZI WETU juu ya tukio la 'UGAIDI'...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nina maswali yafuatayo kuhusu hadhi au wadhifa wa baba a Taifal 1.Je,wadhifa huu uko katika katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? 2.Kama haupo sababu ni nini au ni wadhifa usiostahili...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Sasa ni dhahiri, umma umejihakikishia na kujiridhisha kwamba CCM ni zaidi ya wakoloni waliotutawala kwa kuwa walijenga reli kipindi cha utawala wao na baada ya uhuru serikali ya ccm haijawahi...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Waheshimiwa wabunge na Ndugu Wananchi. Hii ndio Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani inayosomwa bungeni sasa hivi. Nawatakia uchambuzi mzuri. HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI...
9 Reactions
51 Replies
7K Views
Posted Jumanne,Mei7 2013 saa 21:10 PM KWA UFUPI Badala yake, halmashauri hiyo imemteua Katibu wa Jumuiya ya wazazi ya kata hiyo, Isaya Abayo kuwa Kaimu Katibu wa CCM wa kata hiyo, wakati huu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…