AMANI YA TANZANIA KITANZINI
kwa mala nyingine Tz kama nchi ipo kwenye majaribu makubwa kabisa ya kulinda na kuitetea Amani yetu,vitendo vya mauaji,utesaji vinaelekea kuwa ni ibada ya kila siku ya makundi ya watu fulani,kwenye tukio la juzi la ugaidi huko Arusha serikali haitoi majibu ya kuridhisha na sikuzote wamekuwa wakikimbilia kutoa wito wa wananchi kuwa watulivu na wavumilivu,lakini inasahau kwamba mwanadamu ana tabia ya kuishiwa uvumilivu,serikali lazima ijiulize itaendelea kutoa wito na matamko ya kuwataka wananchi wawe watulivu mpaka lini,sawa na kumwambia mtu anaeng'atwa na siafu ama anaewashwa asijikune wala kuwatoa siafu hao mwilini yaani aendelee kutulia ang'atwe na aendelee kuvumilia kitu ambacho ni hatari kwa afya ya Amani ya taifa letu,walau wangekuwa wanatoa matamko na miito hiyo harafu wanakuja na majibu na dawa mujarabu ya kukabiliana na matukio ya namna hyo,kama serikali imeshindwa kuwalinda na kuwahakikîshia Amani na ulinzi wa mali na Roho zao watanzania !basi itangaze waziwazi ili wananchi tuanze kujilinda wenyewe na hapo serikali itakuwa imepoteza uhalali wa kuendelea kuwa madarakani,kwa serikali yoyote tofauti na hii ya Tz ambayo imeanza kujionesha wazi haki ya kuishi ya raia wake si kipaumbele chake tena na imeweka vipaumbele vya kutesa,kubambikia raia kesi,kudanganya na mala nyingne mauaji,tuna ushahidi wa haya,
kwa tukio la Olasiti Arusha mbali na mpaka sasa kuwa limechukua roho za wapendwa wetu 3(R.I.P)bt limeacha maswali mengi kuliko majibu kama ifuatavyo
1,why na kwa haraka mala baada ya mlipuko serikali ikakimbilia kuliita kuwa la Kigaidi?tena bila hata uchunguzi wa awali kukamilika ,je serikali ilikuwa imejiandaa ama kujua tukio kama hili litatokea?
2,why ugaidi na si chuki za kidini?
3,why miongoni mwa watuhumiwa wote waliokamatwa limetajwa jina la mtuhumiwa mmoja tu Calisti Ambrose na si majina ya watuhumiwa wote?ama lengo lilikuwa ni kutuonesha kuwa ni jina la kikristo ndo limehusika na tukio hiln?
4,why tukio hilo limetokea ikiwa imepita mda wa miezi 2 tangu jeshi la polisi litoe tishio la kuwepo watu na vikundi vya watu wenye mafungamano na alqueda na Alshababu,why hawakuchukua hatua za kiusalama?
5,why ni wakristo tu?
6,je?ile Intelejensia ya mwema na jeshi la polisi kunusa hali ya hatari kwenye makusanyiko ya watu wengi kwa sasa haikubaini hatari hiyo,ama intelejensia hiyo inakuwa macho kwenye mikutano ya kisiasa hasa ya vyama vya upinzani?
7,I wapi idala ya usalama wa taifa?imelala ?na kama imelala kuna umuhimu wa kuwepo kwa idala hii inaochukua bajeti kubwa kuliko wizara zote nchini?ama ndo mwendelezo wa kutuibi kodi zetu?
Yako wapi majibu ya kweli?:angry: