Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Pichani Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva Unachosema ni kweli. Lakini ni kweli pia kuwa, mwenyekiti wa CCM kuunda tume ya taifa ya uchaguzi halafu CCM nayo ni mshiriki...
16 Reactions
81 Replies
10K Views
NB: Video Inafuata Operesheni Zinduka imeanza kama nilivyoahidi (jana haikuwezekana kwa sababu moja tu ya heshima ya Mch. Mtikila na haihusiani na mipango ya watu wengine). Nitajitahidi kuwa na...
20 Reactions
284 Replies
24K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM. Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, amesema anajiandaa...
6 Reactions
74 Replies
5K Views
  • Closed
Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa...
24 Reactions
129 Replies
8K Views
Hii inaelezewa na mdau mmoja aliyekuwa anashiriki tenda zianazohusiana na kiwanda hicho Dangote alipokuja kuwekeza alijua atatumia gesi na mashine zake zilikuwa designed kutumia gesi TPDC...
34 Reactions
219 Replies
22K Views
Dar es Salaam, Akihojiwa juzi katika kipindi cha The Interview kinachorushwa na kituo cha East Africa Radio, Mbunge wa zamani wa Kilwa, Mhe. Suleimani Bungara almaarufu Bwege, ameendelea...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Wakuu Akisoma wasifu wa Marehemu Job Ndugai, Katibu wa bunge ameeleza kuwa chanzo cha kifo ni Shinikizo la damu kushuka sana, hali iliyosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa. “Kwa...
9 Reactions
129 Replies
8K Views
VIONGOZI wa Chama cha Wananchi (CUF) kimemtaka mmiliki wa makampuni ya GSM, Ghalib Said kutoa msaada pia kwa vyama vingine vya siasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025...
1 Reactions
2 Replies
307 Views
Tundu Lissu asipojifunza sasa siku atakapo achiwa huru, kuhusu hali anayopitia sioni kama atajifunza tena. Asipojifunza aina ya watu wanaopaswa kuwa nyuma yake ni watu wa aina gani hawezi jifunza...
3 Reactions
20 Replies
792 Views
Kama wewe ni binadamu na unapumua lakini mpaka dakika hii bado haujamuelewi ndugu.Humphrey polepole ambao Genge la wahuni wamembatiza jina jipya la Ndugu.mbiombio basi wewe utakua ni kilaza wa...
4 Reactions
6 Replies
397 Views
Meneja wa Huduma za Utangazaji katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari na watangazaji nchini kuzingatia sera za vyama vya siasa katika...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
It's a Joke like but in real sense Mwamba kaonyesha ana tamaa sana. Nawaza anataka nini huko mbona title yake ni kubwa kuliko hata Mbunge kwa level ya kiutendaji na kimaslahi pia. Je kuna access...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
GT Tusiwe wepesi wa kujizima data na kusahau wasukuma ni watu walionyooka na hawapendi janja janja sasa 2005 walimwamini sana KIKWETE tena kwa 💯 Lakini aliyoyatenda awamu yake ya kwanza ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Nauliza tu maana wako kimya sana au ndio yale yale ya Nccr mageuzi na Shujaa Magufuli 2020? Siasa ni sayansi 😂😂✔️
2 Reactions
6 Replies
320 Views
Friends and Our Enemies, Kila anaekuja hivi sasa mtaji wake umegeuka ni Tundu lisu,mara wengine utaskia utekaji... Wanakuja sasa na vitisho mara usipofanya hivi tutafanya hivi,mara kanisa...
7 Reactions
70 Replies
2K Views
Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Sidhani kama utafurahia anachokifanya mteule wako. Haya tuliyaona wakati wa ukoloni, ma Dc kuwachapa weusi vibok! Usiiruhusu!
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7, 1. Hapendi Rushwa 2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe 3. Anafuata sheria 4. Hana Kona kona 5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake...
126 Reactions
356 Replies
25K Views
Japo tuna amriwa kutii Mamlaka zilizoko duniani kwani zinatokana na Mungu, lakini kwa hali ilivyo sasa wengi wetu tunaelekea kukufuru kwa kutaka kuonyesha kuwa Mamlaka hizi zinaongozwa na...
3 Reactions
5 Replies
717 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…