Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Namwangalia mh lowasa hapa,,akiwa London na kamati yake ya Ulinzi alipokutana na mh Jk namwona kadhoofu sana,,ni ile ya afya au uzee nao?
0 Reactions
56 Replies
6K Views
“ Mamlaka zote msingi wake ni imani, tunawajibika katika kuyatekeleza yaliyo kwenye mamlaka zetu, na kwamba, mamlaka yatatokana na watu, kwa ajili ya watu, na chemchem zote za fikra ziachwe hai”-...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
nime-copy na ku- pest kutoka Facebook kwenye Group moja linaloitwa Simanjiro Group, post hii imewekwa hapo na mtu mmoja anaitwa Frank Oleleshwa MUHIMU SANA................. Aggy Porokwa ALIWEKA...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
*Adai ni vibaraka wa mabeberu kuvuruga nchi *Awafananisha na nguruwe mwenye tabia la kula watoto akiwa na njaa. *Ataka watanzania kuwapuuza *Amuumbua Tundu Lissu *Atetea mchakato wa katiba nchini...
0 Reactions
140 Replies
10K Views
Hoja ya haja: Mtwara Natural Gas Saga Is not a Curse, But Rather an African Awakening! The emerging problem in Mtwara, should not be confused with the African natural resource curse, but rather...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
TUINUSURU ELIMU YA TANZANIA hali ya elimu ya tanzania ipo katika hali mbaya sana inayohitaji hatua za dharula. KWA 1.WABUNGE WOTE 2.WAZIRI WA ELIMU SHUKURU KAWAMBWA(MB) 3.TUME YA WAZIRI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Huyu bwana Charles Kitima amelichana Bunge kuhusu serikali kuingilia upangaji upya Alama za kidato cha 4. Anasema mijitu tunailipa pesa zetu nyingi inakwenda kupiga madawati Ameua bendi
0 Reactions
33 Replies
4K Views
ikiwa takribani mwezi umebaki kabla ya chaguzi ndogo za madiwani kufanyika mpaka sasa serikali haijatoa fedha kwa ajili hiyo.Inasemekana serikali bado inahofu wapinzani watatwaa kata nyingi hivyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza kabisa nitoe tafsiri ya maneno niliotumia nimetumia waasherati wa vyama nikiwa na maana ya wanachama wanaotoka chama kimoja kwenda kingine kwa maslahi yao na uko wanapoenda wanataka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ujinga ni hali mbaya sana ya kiakili; lakini pia ni hali njema sana ya akili ya mwanadamu. Ujinga - ni hali ya kutokujua kitu ambacho mtu aweza akajulishwa, akakipokea na ule ujinga kumtoka...
22 Reactions
67 Replies
6K Views
  • Closed
Inaripotiwa kuwa jumla ya watu 12 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa kutuhumiwa kuhusika na mlipuko wa bomu lililorushwa katika eneo la Kanisa la Mt Joseph Mfanyakazi katika...
3 Reactions
79 Replies
8K Views
Mei 10, 2013 | Mtanzania JESHI la Polisi mkoani Morogoro limeingia kwenye kashfa nzito baada ya askari wake watatu na raia wanne kukamatwa wakiwa na kichwa cha binadamu. Tukio hilo lilitokea Mei...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
  • Closed
Hadi dakika hii anaendelea kutoa mchango wake kuhusu Bajeti ya mambo ya ndani akieleza kwamba {usiseme kuwa jeshi la Polisi limeoza bali ni polisi wachache tu wasio waadilifu}. Akaongeza pia...
2 Reactions
85 Replies
8K Views
Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kibaha Vijijini kimeandaa Mkutano mkubwa wa hadhara Utakaofanyika Jumamosi Tarehe 11/05/2013 Mlandizi katika viwanja vya Stand ya...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
FRIDAY, MAY 10, 2013 Meneja wa Miradi Maalum ya mji wa Valejo,California, Bibi Lilibeth Defiesta Asera amehimiza kuwepo kwa mahusiano zaidi kati ya miji ya Valejo na Bagamoyo ambayo yatakuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau napendekeza katiba mpya itupe haki sisi watumishi wa serikali tunaoipenda CDM fursa ya kugombea vyeo vya kisiasa kama udiwani na ubunge bila kulazimika kuacha kazi ....wapenda mabadiliko...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Watz kwa ujumla wenu!!!! Hakuna asiefahamu rekodi nzuri ya kiuongozi hasa katika ngazi ya uwaziri mkuu iliyowekwa na hayati edward moringe sokoine, hata maamuzi magumu ya waziri mkuu edward...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Nchi ya Marekani ni kati ya nchi iliyokuwa na ubaguzi mbaya kati ya weusi na wazungu weupe. Ubaguzi huu kwa weusi ulipelekea weusi wengi kuuwawa kinyama, kwa kupigwa risasi kama nguruwe mwitu...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
JAKAYA KIKWETE Image via Wikipedia From the publisher: We do not profile a sitting President. However, we make an exception. We have during the past year, never found a criticsm of President...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…