Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wanajamii, Katika muda wa miaka 3 (2010-2013) nimekuwa nikifuatilia siasa za CHADEMA VS CCM kwa karibu. Ktk uchaguzi wa 2010, CHADEMA ilionekana kuungwa mkono zaidi mijini huku CCM ikiungwa...
13 Reactions
104 Replies
7K Views
Taarifa nilizozipata muda na watu ambao wapo kwenye tukio, wanasema hali si shwari katika mji wa Luaha kutokana na CCM kutaka kumkabidhi uenyekiti wa kijiji bwn. KISALUNI, kinyemela kwa kumuita...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
SHAMBULIO LA ARUSHA Mwandishi Wetu Toleo la 293 8 May 2013 SIKU kadhaa baada ya mlipuko wa bomu uliotokea Arusha, jana Jumanne makachero...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilipita jf na kuona wadau Jf mlivopata hasira kuhusu bunge leo kupigwa kapuni, sasa nampata Pinda Live TBC RADIO anafunguka na mwana wa mkulima kwa nia njema anasema epusha siasa ktk suala la Arusha
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Imedhihirika kuwa, kisa cha Naibu Waziri Nyalandu kuweka kambi bungeni tena kipindi hiki cha Bunge la bajeti ni maandalizi yake na chama chake CCM kujiweka karibu na wananchi kwa maandalizi ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ratiba ilikuwa inasema hivi: 1: April 03, 2013 (yaani siku 37 zilizopita): Tume ita-conclude kupata maoni na moja kwa moja itaanza kuandika (edit) draft ya katiba mpya. 2: May 02, 2013 (yaani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika sababu za kufeli watoto wetu mwaka 2012 zimetajwa nyingi lakini walimu wanajitapa kuwa wao ndio waliowafelisha vijana hawa kwa makusudi kwakuwa madai yao hayasikilizwi likiwemo la...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ndiyo wanabodi. Heshima kwenu ! Kesho ndo tarehe ya kusomwa kwa kesi ya Madiwani waliofukuzwa CHADEMA Mwanza. Madiwani hao ambao wapo kwenye nafasi kwa amri ya mahakama ni Ndgu Adam...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kauli uliyoitoa leo Arusha kwa waathirika wa mabomu kuwa vurugu sio za kidini kisa huko Zanzibar hata Masheikhe wamemwagiwa tindikali. Does this make something kweli!!!!!??
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa! Top up ni malipo ambayo uwa yanafanywa na wizara kwa kila mwaka wa masomo kwa wanafunzi wa mwaka wa tatu kwa ajiri ya mafunzo kwa vitendo bila kujali mwanafunzi anapata mkopo...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Kabla ya Mei 5, mwaka huu, jina la Victor Ambrose (20), halikuwa likijulikana miongoni mwa jamii kubwa ya wakazi wa Jiji la Arusha. Hali kadhalika, kwa Watanzania wengi. Lakini baada ya tarehe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
By. Mlosi K. Mtulutumbi, Mwanangu, Naandika waraka huu kwa majonzi makubwa yaliyougubika moyo wangu ulioota kutwa kwa kusukuma damu yanye wekundu uliofifia pengine kutokana na kula mboga za...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Habari ambazo ni tetesi zinasema kwamba umoja wa mashirika yasiyo ya kiserikali yakishirikiana baadhi ya wanasheria nguli hapa nchini wapo katika hatua za mwisho kuandaa kuweka court order...
9 Reactions
88 Replies
9K Views
Leo saa majira ya saa Nane MKUU wa wilaya ya aruSha MJINI Ndg Mongela AMEKUJA airport nakuomba ndege anayopaswa kusafiria balozi wa mwakilishi wa Papa isiruke ILI BALOZI ambaye amekataa kuonana na...
8 Reactions
192 Replies
16K Views
Ndugu wanajamvi, kuna vitu ninavyojaribu kutafakari na sijaweza kupata majibu sahihi juu ya taifa lilipo na linapoelekea. Haya ni baadhi ya maswali: Taifa hili limejengwa kwa juhudi za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni email tuliyotumia leo Kutoka Makao Makuu ya Ofisi yetu (Si Tanzania) ikitu alert na Machafuko ambayo yanaweza Kutokea based on Hukumu ya Shekh Ponda Hi all Please note that personnel in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hukumu rufaa ya ccm ya ubunge wa Igunga kusomwa leo saa tatu mahakama ya Rufaa Tabora..source ni mimi mwenyewe nimeona summons za mahakama,naona wadau mapema wameanza kutiririka mahakamani,,,,
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nilisikia Kauli ya James Mbatia ikiwa kama ilikuwa kama anamuelekezea mtu ambaye alidhani yeye ndiye muhusika mkuu wa shambulizi la ARUSHA Maana hata mtangazaji alisema James Mbatia ameongea bila...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
The CITIZEN Posted Wednesday, May 8 2013 at 22:41 In Summary Chief Sheikh Issa Shaaban Simba, said the Sunday attack has brought to light a more complicated motive in the series of attacks...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom