Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema hawatalipa kisasi hata baada ya mahakama kumfutia kesi ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama...
Kwa sasa kweli mabadiliko yanakaribia Tanzania kupitia kwa CHADEMA,nimesema hayo baada ya kufanya simple analysis.kwa propaganda ambazo CHADEMA wemetupiwa mwaka huu ni wazi kwamba ingekuwa enzi...
Nyie akina Nape na wenzio akina Ngulu Nchemba, Juliana Shonza na mwenzako, Chris Lukosi, akina Lusinde n.k. ivi tuseme uwezo wenu wa kufikiri ni duni sana kiasi cha kushindwa kuelewa kwamba kauli...
Naomba niwaonye viongozi wa CHADEMA juu ya opereshion na mikutano mingi wanayofanya kaskazini,kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini huku wakisahau kusini kwan CCM imechokwa wakumbuke waipa nafasi...
Kukiwa kuna kika dalili na tambo mbalimbali zinazoashiria chama cha Chadema kuingia ikulu ya magogoni mnamo 2015 ni vyema tukajadili mahusiano yaliyopo kati ya chadema na wawekezaji hasa wale wa...
Nimepigiwa simu leo na kamanda mmoja akisema kulikuwa na uzi hapa unahoji kama ni kweli nilikuwa mwenyekiti wa chadema wakati mimi mwenyewe sikuwa mwanachama. Ni kweli kabisa mimi sijawahi...
POLISI NA FUVU LA KICHWA CHA BINANDAMU: JE, SIYO FUVU HILI HILI LILITUMIKA PIA KATIKA TUKIO HILI LA 2009
Katikati ya wiki hii ambayo wizara la mambo ya ndani iliwakilisha bajeti yake na jeshi la...
Wadau,
Ninajua kuwa hili kila mtu ameshaliona, kuwa watuhumiwa waliokamatwa mpaka sasa kuhusiana na mlipuko wa Arusha wamefikia 10 lakini jina lililotajwa na linaloendelea kutajwa kwa nguvu ni...
Waswahili wanasema kwamba uwema wa mtu unanzia nyumbani kwake, halafu unasambaa nje ya nyumba yake, ofisi za chama cha cuf makao makuu zipo Buguruni karibu kabisa na shule ya msingi Buguruni...
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali...
Wananchi zaidi ya 1000 wametupa hadharani kadi za CCM huko Monduli baada ya kukerwa na mwenendo wa CCM wa kuchakachua matokeo hata ndani ya chama; baada ya CCM mkoa wa Arusha kumchakachua mgombea...
Mimi kwa sasa sielewi, hawa chadema wamejitoa au hawajajitoa? km hawajajitoa ni ugumu gani wanaoupata wa kutueleza wananchi ni nn haswa ni hatima yao juu ya huu mchakato? tumesikia jana warioba...
Akihutubia jana huko Tunduma ktk Mkutano uliokua umejaa Wananchi kumsikikiza Katibu Mkuu wa CDM Dk Wilbrod Peter Slaa alisema kuwa CCM na viongozi wake sasa wameshindwa Siasa za Majukwa na...
Jukwaa la katiba liko kwenye mchakato wa kuzuia mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya mahakamani.Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa watawakilishwa na jopo la mawakili kumi.Na kesi itafunguliwa mapema...
Leo hii huko mjini Sumbawanga Chama Cha Mapindunzi (CCM) kimeendelea kujiimarisha kwa kutimiza moja ya ahadi zake kwa kuwakopesha vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa hili pikipiki mia moja (100)...
SAKATA LA NANI ANA HAKI YA KUCHINJA KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO LAIBUKA TENA KATORO GEITA.
Jana imetokea hali ya sintofahamu kati ya waislamu na Wakristo katika kijiji na kata ya Katoro...