Baada ya wananchi wiki iliyopita kuandamana kwa kumkataa mwenyekiti wa kijiji aliyeteuliwa na CCM kukabidhiwa ofisi, hatimaye leo mkurugenzi wa wilaya pamoja na mkuu wa wilaya ya Kilosa wamemteua...
Nimesikitishwa na bunge la kumi na moja toka wizara ya katiba ambayo ilikua na kero nyingi waheshimiwa wabunge waijadili lakini ikapewa siku moja kwa leo tena wizara ya viwanda nayo muhimu...
PORI TENGEFU LA LOLIONDO
Pori Tengefu la Loliondo linapatikana mashariki mwa hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Eneo hili linajumuisha vijiji vingi halali vya Tarafa ya Loliondo ambavyo...
Akiendelea kuchangia hotuba ya wizara ya ujenzi, Mbunge wa same mashariki Anne kilango malechela amewataka wabunge wa upinzani wawe na shukrani na wawe na haya na aibu kwa mambo ambayo yamefanywa...
Kwa kawaida, inapofika wakati serikali inayoongozwa na chama cha mapinduzi (CCM) inapofanya utekelezaji wa kazi zake kulingana na Ilani ya chama, mipango ya maendeleo na maazimio ya bunge huwa...
Wakuu ndani ya JF,
Natumia fursa hii kutafakari kwa kina kile kinachojiri ndani ya taifa letu kutokana na aina ya maamuzi yanayofanyika ndani ya bunge kama yana tija kwa mustakabali wa amani ya...
Waziri wa wizara yoyote Tanzania akisimama bungeni utamsikia 'wizara yangu' na Naibu wake naye anasema 'wizara yangu' sasa mimi nabaki najiuliza hiyo wizara ni ya nani hasa? na je naibu anaposema...
Hivi karibuni, Jina la mwanasiasa wa chama cha mapinduzi Mwigulu Nchemba limekuwa likisemwa sana na watu C kwa mazuri aliyotenda mwenye jina bali kwa Maovu ameyokuwa akiyatenda dhidi ya chama cha...
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.
Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu...
CHADEMA YAILIPUA CCM KATA YA SAZIRA-BUNDA
Kata ya Sazira inaundwa na Vijiji vya; Misisi, Ligamba A, Ligamba B, Sazira na Kitaramaka.Kazi za Uchumi ni Kilimo na Ufugaji,
pia Kata imejaliwa...
Wakati kipenga cha uchaguzi wa udiwani kikitarajiwa kupilizwa kesho tarehe 15-may-2013 aliyekuwa mwenyekiti wa CCM kata ya Themi Petro Ndarivoi ameamua kuhama ccm pamoja na wafuasi wake 400...
Katibu Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Mbeya Vijijini, Jackson Mwasenga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi amepigwa risasi na watu wasiojulikana na...
Mchango wako wa leo ulijaa busara,hekma na utulivu.
Umenifurahisha sana pale uliponukuu katiba kukumbusha ni ipi kazi ya wabunge.! Bila kumung'unya maneno umesema kwa ujasiri 'ni kuishauri na...
...Akipitia maoni ya wabunge kuhusiana na bajeti yake, waziri wa ujenzi Dr John Pombe Magufuli ameendeleza ngonjera za kuihusisha JF na CHADEMA. Akitoa maelezo yake alisema...".....Kiongozi wa...
MONDAY, MAY 13, 2013
Baadhi ya Viongozi, Wajumbe na Wanachama Wapya katika picha ya pamoja
Mwenyekiti wa CCM TAWI LA UNITED KINGDOM Ndugu Maina Ang'iela Owino akimkabidhi vitendea kazi...
Slogani zimekuwa nyingi sana kila chaguzi pamoja na maishara bora kwa kila mtanzania mimi bado kabisa au wenzanu nyie mmeyapata? Maana nataabika tu hapa mimi
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeilalamikiaTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwamba ina mikakati ya kuvuruga uchaguzi mdogowa madiwani na ubunge unaotarajiwa kufanyika Juni 16...
Ni zaidi ya wiki moja sasa tangu wananchi kurejea kwenye makaazi yao baada ya kuhamishwa na mafuriko makubwa ambayo hadi sasa idadi kamili haijatangazwa kwa mujibu wa sheria.
Taarifa nilizozipata...
Nape Nnauye akiwa na Ruge @Ritz katika Tamasha la Clouds FM dodoma
Baada ya kimya kirefu Nape Nnauye juzi akaibukia kwenye tamasha la clouds
My opinion: Kumbuka clouds inawezeshwa na CCM...