Uko wapi Uadilifu wa Mwigulu Nchemba?

Uko wapi Uadilifu wa Mwigulu Nchemba?

Nzagabulu

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
60
Reaction score
8
Hivi karibuni, Jina la mwanasiasa wa chama cha mapinduzi Mwigulu Nchemba limekuwa likisemwa sana na watu C kwa mazuri aliyotenda mwenye jina bali kwa Maovu ameyokuwa akiyatenda dhidi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mwigulu amekuwa akisifiwa na viongozi wa ccm katika ngazi mbalimbali kwamba ni jembe na anaweza kupambana na kasi ya chadema inayohatarisha uwepo wa ccm,Huyu ni Kiongozi wa nafasi ya juu kabisa ya chama cha mapinduzi CCM naNi mbunge wa Iramba kupitia ccm. Baada ya kuongea machache kumuhusu Mwigulu Naomba niwasilishe maswali yafuatayo ili tupime uadilifu wake kwa Mungu na kwa wananchi.

Uko wapi ushahidi aliodai yupo tiyari kuusema hata kama ni mbinguni?

ziko wapi jumbe za simu alizodai kutumiwa na wabunge wa upinzani?

Mwigulu aliwahi kusema ametumiwa ujumbe wa simu ya kiganjani akidai kutishiwa kuuwawa na mbunge wa chadema JJ Mnyika,Ndugu wana jf, kutishiwziko wapo jumbe za vitisho alizotumiwa n wabunge wa chadema?a kifo siyo jambo dogo,Kama Kweli alitishiwa kifo kwa nini hadi leo hajampeleka mahakamani? Kushindwa kufanya hvyo ni uthibitisho tosha kuwa Hyu ni mtu Mwongo, mchonganishi na mnafiki.

Wakati wa uchaguzi wa Igunga Huyu alikamatwa Ugon akiwa na mke wa mtu gest house.
 
Ur dealing with the politically dead one.....he is out of league now.
 
Mbona hata ndani ya CCM wamegundua sio jembe tena! Mission zake zote zime backfire na kuwa dhalilisho kwa chama chake. Mnajua baada ya kusifiwa na Mwenyekiti wake kuwa ana uwezo wa kupambana na upinzani na kupandishwa cheo kuwa Naibu katibu mkuu yeye alifikiri kutunga uongo inaweza kumsaidia kujenga hiyo sifa aliyopewa,matokeo yake imekuwa fedheha dhidi ya kuropoka kwake.
Watu sasa wanalinganisha weledi wake na mwenye cheo kama chake kutoka chama anachokizushia (Zitto) na kuona ni tofauti kama mlima na kichuguu cha mchwa na hiyo ni aibu kwa aliyemteua kwamba chama kikubwa kama hicho kimekosa kabisa mtu makini hadi kumweka huyo mropokaji,mjivuni na mtukanaji asiye na hoja?
alikuwa anajisifu eti "niachieni hao Chadema nawamudu" na leo wabunge wenzie wa CCM wanalalamika majimbo yao hayana barabara ila ya wapinzani yanazo za lami. Wao wakipambana na CDM,wenzao wanapambana na mawaziri ili kupata maendeleo. RIP Mwigulu,enzi ulipewa umeitumia bila akili na wallah cheo ndani ya CCM watakuvua na Dr Kitila naye anakungoja jimboni kukunyanganya tonge la mwisho.
 
Watanzania msimlaumu sana; angalieni pia familly background...
 
Unajua mkuu CHAKAZA kwetu uswahilini tunamsemo unasema "UJANJA KUJUA NJIA NA SIYO KUKIMBIA" laiti kama mwigulu hakujua njia anayopita na sasa amepotea kwani njama zake zote zimegundulika na sasa AIBU YETU AIBU YAO jibu wanalo wenyewe
 
Nape anamsemo wake huwa naupenda sana UKIWA MUONGO UJANANI UTAKUWA MCHAWI UZEENI, hii kauli iliwahi kutolewa na Nape katika moja ya vikao vyake na wandishi wa habari.

Mimi napata wasiwasi kama hiyo kauli hufanya kazi kweli basi CCM kutakuwa na wachawi wengi sana siku za mbeleni kwani wao ndio waongo wakubwa ambao hata hawaoni soni kusema uongo kauli aliyoitoa Mwigulu kama anaushahidi kama chadema kuhusika katika vitendo vya kigaidi ni uongo ambao umegeuka aibu kwake.
 
Mkuu mbona una haraka sana na ushahidi? hivi hiyo kesi ishaanza kusikilizwa? Tusio na Upande tufatilia kinoma usione tumekaa kimya... tabu ni walevi wa vyama kama wewe na inaelekea jamaa hawapi usingizi!! anway ukikaa kimya nalo ni jibu... time will tell!!
 
Mbona hata ndani ya CCM wamegundua sio jembe tena! Mission zake zote zime backfire na kuwa dhalilisho kwa chama chake. Mnajua baada ya kusifiwa na Mwenyekiti wake kuwa ana uwezo wa kupambana na upinzani na kupandishwa cheo kuwa Naibu katibu mkuu yeye alifikiri kutunga uongo inaweza kumsaidia kujenga hiyo sifa aliyopewa,matokeo yake imekuwa fedheha dhidi ya kuropoka kwake.
Watu sasa wanalinganisha weledi wake na mwenye cheo kama chake kutoka chama anachokizushia (Zitto) na kuona ni tofauti kama mlima na kichuguu cha mchwa na hiyo ni aibu kwa aliyemteua kwamba chama kikubwa kama hicho kimekosa kabisa mtu makini hadi kumweka huyo mropokaji,mjivuni na mtukanaji asiye na hoja?
alikuwa anajisifu eti "niachieni hao Chadema nawamudu" na leo wabunge wenzie wa CCM wanalalamika majimbo yao hayana barabara ila ya wapinzani yanazo za lami. Wao wakipambana na CDM,wenzao wanapambana na mawaziri ili kupata maendeleo. RIP Mwigulu,enzi ulipewa umeitumia bila akili na wallah cheo ndani ya CCM watakuvua na Dr Kitila naye anakungoja jimboni kukunyanganya tonge la mwisho.

Ivumayo haidumu walisema wahenga! Mwigulu Nchemba; alikulia porini akichunga ngombe, mazingira yaliathiri ukuaji wa akili yake akabaki ana IQ ndogo kuliko ya nyenyere na mende!

Nchemba angekuwa na ubongo kidogo angepima wadhifa wake katika chama tawala na kulinganisha matendo yake na Zitto Kabwe naibu katibu mkuu kama yeye upande wa CDM; angejifunza jinsi kiongozi anavyopaswa kujibeba katika jamii; ZZK amejipambanua kwa hoja na mwenendo katika jamii kama kiongozi na tegemeo la jamii. Nchemba kazi kuropoka!!

Rest In Peace Mwigulu Lameck Nchemba (Mchunga n'gombe); you have outlived your usefulness, the economic theory of the rate of diminishing returns has caught up with you pretty fast!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom