Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

Fred Katulanda

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
394
Reaction score
627
attachment.php

Mwangalie Serukamba hiyo ndiyo maana na neno lake Bungeni

247122 Gado.jpg
 
Bunge katuni, wananchi katuni, ..ipo kitu hapa Tanzania ambayo si katuni?

Mtanzania zinafanana na viongozi wao. Falsafa ya kujitazama kiooni inafanya kazi hapa.

wananchi wanatizama "viongozi" na "viongozi" vinatizama wadanganyika(wananchi). Ni katuni tupu, aisee!
 
Nkamia ana Najisi Kiti cha Speaker.
Kwa bonge la kojo
 
Teh..teh..teh......bunge limekuwa kama kijiwe cha gahawa, CCM imetunyea kichwani...
 
Bunge gani unaliita tukufu, hili la mama Makinda? Mkiambiwa ukweli mnasema mnadharauliwa. Bunge gani hili, upuuzi mtupu!
utake usitake ndio bunge lenu hili na ww umeshiriki kuliunda kwa nguvu zote....
 
Back
Top Bottom