Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Imeandikwa na Lucy Lyatuu | HabariLeo | Nov 29, 2012 WAKATI mashirika mbalimbali ya binafsi ya ndege yakiongeza idadi ya safari zao nchini na mengine yakipunguza nauli kuvutia wateja, Shirika la...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI KUHUSU KUPITIWA UPYA KWA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012 Mnamo...
3 Reactions
135 Replies
22K Views
Msemaji wa JWTZ,Kanali Mgawe amesema kuwa Waasi wa M23 nchini Kongo DRC waache mikwara na kuiacha Tanzania itekeleze jukumu lake iliyopewa na Umoja wa Mataifa kupitia Azimio Na. 2098. ' Sisi...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Ndugu wana JF, Naomba kumwalika Waziri wa Elimu hapa jamvini japo nao member watoe Mchango jinsi ya kuboresha Elimu yetu najua Budget ya elimu bado ila kuja hapa kutakufanya upunguze kero za...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
  • Closed
Katika tukio lisilo la kawaida ambapo kituo cha Matangazo cha ITV kiliandaa mjadala wa kujadili hali ya kisiasa nchini na masuala mbalimbali ya kitaifa ambapo kwa busara za watendaji wa ITV...
7 Reactions
443 Replies
30K Views
Taarifa zilizosomwa na baadhi ya madiwani hasa diwani wa Rwamishenye Mh DISMAS RUTAGWERERA aliyesema kuwa mgambo hao wanatembea na nembo ya kusimamia usafi na kuingia vyumbani mwa watu ambapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge wa Wawi, kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Hamad Rashid Mohamed, amesema bunge la sasa limekosa ufanisi, nidhamu na lugha zinazotumika hazistahili kutolewa bungeni. Amesema tofauti ya Bunge...
0 Reactions
90 Replies
7K Views
Wednesday, May 15, 2013 SAJENTI Albogasti Kashaija (40), ameieleza Mahakama kuwa Waziri wa zamani, Arcado Ntagazwa, anayekabiliwa na mashitaka ya kujipatia mali za Sh milioni 74.9 kwa njia ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hakika kutafuta kuongezea ndo kupoteza hata kile ulicho nacho, tokana na matumizi ya nembo taifa na maelezo mazuri nkajua ntatoka kwa syle ile kumbe ndo natolewa knock out kulizwa tsh.37elfu bila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waliojivika ngozi ya kondoo ndani ya CHADEMA kama akina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wangalipo? Hapana budi kuwaondoa warudi kwenye kundi lao kama wenzao hapa kwenye picha, Hatutaki ndumila...
2 Reactions
157 Replies
13K Views
Heshima Kwenu Wanabodi. Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi iliyokutana juzi Mjini Dodoma imeipongeza serikali kwa hatua inayoendelea kuchukua katika kuchunguza chanzo cha tukio la mlipuko wa Bomu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
BAADA ya matukio ya ugaidi na uvunjifu wa hali ya Usalama kwa muda mrefu huko Nigeria, Rais Goodluck Jonathan wa n chi hiyo, alijikuta hana jinsi isipokuwa kuchukua hatua kali, za madhubuti na za...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Wana JF, Hii article nliiona siku nyingi sanaa na kati ya Watendaji wakuu wa sekta ya Mawasiliano hasa wizara ya sayansi, teknolojia na elimu ya juu ni wadau humu jamvini, hivi hawajahi kuiona ...
1 Reactions
2 Replies
909 Views
Natazama TBC1 muda huu Waziri wa uchukuzi Dr H Mwakyembe anasoma makadirio ya wizara yake.Kinachonivutia zaidi ni hali ya afya yake inazidi kuimarika ukilinganisha na hali aliyokuwa nayo mwanzo...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Umri wangu haujafika hata nusu ya miaka ya nchi yangu nimeshuhudia maendeleo makubwa sana ndani ya nchi yangu. Naishukuru CCM Kwa kunisaidia kufika hapa nilipo. Vijana wengi wa leo tunathubutu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
AUWAYE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA. Ndugu zangu ni furaha gani unakuwanayo ukiona jirani/rafiki/ndugu yako anapata mateso yanayotokana na maamuzi yako yasiyo haki? Wote tuliumbwa kwa udongo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona CHADEMA uzushi tu na sidhani kama hiki chama kitakuwa hai comes 2015. Ukiangalia mbunge wetu Lema nae mcharuko basi nimejonea tabu tu. Jamani wenzangu nawashauri tuhamie huku
0 Reactions
148 Replies
10K Views
Mheshimiwa waziri mkuu ni mwaka mzima sasa hatuna diwani,madhara yake unayajua,ratiba ya chaguzi nyingine za madiwani nchi nzima zimetolewa,sombetini haipo.wanasombetini tunajiuliza tutapata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nasiitishwa na kauli hizi zinazo daiwa kutwa kutunza amani na kuhakikisha haiondoki, je kulinda amani ni kufichana baadhi ya mambo yanayo endelea nchini mwetu? Huku ndio kutunza amani, au kulinda...
1 Reactions
6 Replies
972 Views
  • Closed
PUBLICATION DETAILS ********* SOURCE: AN-NUUR DATE: Friday, May 10, 2013 ISSN: 0856-3861, No. 1070 PAGE: 01-02 AN-NUUR CONTACT: +255 78 4370208, +255 71 3110148, +255 75 5260 087 ********* Chuo...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…