Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,496
- 38,354
Natazama TBC1 muda huu Waziri wa uchukuzi Dr H Mwakyembe anasoma makadirio ya wizara yake.Kinachonivutia zaidi ni hali ya afya yake inazidi kuimarika ukilinganisha na hali aliyokuwa nayo mwanzo kabla hajapelekwa India kwa matibabu.
Ikumbukwe Dr H Mwakyembe kabla hajapelekwa India ngozi ilikuwa inamwaga unga,nywele zinyonyoka hadi ikamlazimu kuvaa kofia,kucha zibadilika rangi na kuwa nyeusi.
Leo ninapomtazama naona nywele zimeota vizuri,kucha zimerejea katika hali ya kawaida (nyeupe) na ngozi ya mwili wake iliyokuwa imeota magamba kama samaki imerejea katika hali yake ya kawaida.
Mungu apewe sifa na utukufu.
Nakala: Pasco TUMBIRI