Steph kabs
Member
- May 16, 2013
- 7
- 1
Umri wangu haujafika hata nusu ya miaka ya nchi yangu nimeshuhudia maendeleo makubwa sana ndani ya nchi yangu. Naishukuru CCM Kwa kunisaidia kufika hapa nilipo. Vijana wengi wa leo tunathubutu kusema kuwa CCM haijatufanyia lolote. Napenda kusema hapana kwani CCM imenipa haya yafuatayo na ninajivuni:
CCM-TANU NA ASP
- IMENIPA UHURU WA KWELI INAMAANA IMENIKOMBOA NA UTUMWA
- NI CHAMA PEKEE CHENYE MAANA HALISI YA DEMOKRASIA NA INATEKELEZA
- IMENIPA DRASTIC CHANGES WITHIN THE DAYS I HAVE EXISTED
- NAISHI KWA AMANI NA HURU
CCM-TANU NA ASP