Nimekuwa nikifualitia mijadala mbalimbali bungeni, nimegundua 10% ya wabunge toka CHADEMA wamejikita katika michango ya kutetea maslahi ya majimbo yao na taifa kwa ujumla. Wakati 90% iliyobaki...
Jana Mwenyekiti wa CHADEMA wakati akihutubia Baraza Kuu la Chama hicho alimtaja Abrahman Kinana ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM kuwa alikuwa Mkurugenzi wa Kampuni inayochimba mafuta huko Mtwara ya...
KITENDO ALICHO KIFANYA MWENYEKITI HUYU KINATUVUNJA MOYO SANA WATANZANIA WENGI TUNAO PIGANIA MABADILIKO.
KAMA VIONGOZI WETU WANGEKUWA MAKINI HAYA YASIKNGE TOKEA, HUU NI UZEMBE WA HALI YA JUU...
Tanzania's gas boom
The Mtwara Rockefellers
A gas bonanza brings hopes of wealth
May 20th 2013 | MTWARA
The Makonde, known for their refinement
THOUSANDS of tonnes of drill pipes are...
Leo hii niko Mtwara hali ni Tete vurugu kila kona ya mji.Mabomu na risasi za moto,Kwa ujumla ni hofu kila kona.
Wanasiasa punguzeni ukali wa Kauli zenu kwa manufaa yenu.Damu hii inayomwagika ya...
Wana jamvi kaeni mkao wa kula leo, maana mida ya saa nne asubuhi ya leo kutakuwa na kivumbi leo bungeni wakati Mhe. John Mnyika atakapoanika udhalimu wa Serikali ya CCM katika sekta ya Nishati na...
Maboresho ya ukusanyaji mapato katika pantoni za Kigambo yamegeuka kuwa machungu kwa wasafiri wanaolazimika kusubiri kwa mda mrefu katika foleni wakati wa kukata tiketi!
Mamboresho yameanzia...
Hii ndiyo tuzo aliyotunukiwa Dr. Wilbroad Slaa na CHADEMA tawi la chuo kikuu cha SAUT Mwanza, kutambua mchango wake katika kuwatumikia Watanzania kwa kupigania demokrasia na utawala bora nchini...
Arusha. Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amedai kupokea ujumbe wa vitisho kwa simu kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa...
Dar es Salaam. If the Dar es Salaam port is crippled by inefficiency, it is not because the country lacks competent professionals in its management, according to analysts.
Tanzanian experts have...
Salaams wapendwa wanaJF, this is definitely worth your attention and please do not feel obliged to comment if it ain't for you.
Siku ya Jumamosi tarehe 01/06/2013, waTanzania waishio UK...
Nimesoma taarifa kutoka Tabora jinsi Zitto alivyofungua matawi 19 katika kata 19 za tabaora mjini nikafurahi sana. Naamini pia mtu yeyote anayeelewa maana ya neno 'DEMEOKRASI' atafurahia ukuaji...
interesting comments by someone on the mwananchi website .... Ooh, this Tanzania. If you pay attention to listen to most of our leaders and other influential people you can learn something very...
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni ya uzinduzi wa nafasi ya udiwani Kata ya Iseke Tarafa ya Ihanja, Wilaya ya Ikungi, Tundu Lissu, juzi alishindwa kuuza sera za Chadema, na badala yake...
Siku za karibuni nimekuwa nikisikia maneno ambayo nilidhani ninafahamu vizuri udogo wake, ajabu ninayoipata ni kukuzwa kwa maneno hayo na kusahau yaliyo makubwa zaidi. Sitaegemea mrengo wowote wa...
Ndugu zangu great thinkers,
Watanzania tumekuwa na tabia ya kulalamika sana linapokuja suala la kuchangia gharama mbali mbali za mambo yanayohusu "maendeleo" yetu kama watanzania.
Nitatoa hapa...
Hili washawasha limeingia leo manispaa ya Mtwara Mikindani. Hii huenda ni maandalizi ya kwa ajili ya kesho ambapo bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini inatarajiwa kusomwa bungeni kesho.
Bajeti...