Leo hii niko Mtwara hali ni Tete vurugu kila kona ya mji.Mabomu na risasi za moto,Kwa ujumla ni hofu kila kona.
Wanasiasa punguzeni ukali wa Kauli zenu kwa manufaa yenu.Damu hii inayomwagika ya Wananchi wasio na hatia mtakuja jutia kauli zenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.