abousalimu
Member
- Apr 3, 2012
- 62
- 19
Anasema bei ya nafaka za ndani ikiwa juu serikali huagiza nafaka kutoka nje! Mwenye weledi na mambo ya kiuchumi atudadafulie hili. Mwisho, wale waliomwibia huyu muheshimiwa walikamatwa?
Anasema bei ya nafaka za ndani ikiwa juu serikali huagiza nafaka kutoka nje! Mwenye weledi na mambo ya kiuchumi atudadafulie hili. Mwisho, wale waliomwibia huyu muheshimiwa walikamatwa?
Tujaribu kuwatendea haki baadhi ya Mawaziri, specifically A.Malima na Kairuki; binafsi nimejaribu kufatilia jinsi Ndugu Malima anavyo jibu maswali mbali mbali bungeni na jinsi anavyp pangilia majibu yake - tukubaliane jamaa huyu ana akili sana na anajua ku-analyse mambo kwa kina, mambo mengine wana JF wanayo msema hayo ni mambo ya ujana tu yatapita, cha muhimu ni weledi wake katika maswala mbali mbali ya kiuchumi nk - hapo Mh. Malima hana mfanowe.
Sasa tuje kwa Mh.Kairuki naye vile vile yuko smart upstairs, kusema kwamba sura yake ndio kilikuwa kigezo cha kuteuliwa katika wadhifa wa uwaziri hapa naona tunavuka mipaka katika utunzi wa tamthilia za kusadikika!! Hii ndio tabia iliyojengeka kwa wanaume wengi ya kujaribu ku-teardown kisaikolojia uwezo wa kina mama kwa visingizio mbali mbali, binafsi tabia hii huwa inanikela sana; kila raia ameshuhudia Kairuki anavyo jibu maswali kwa ufasaha hata yale ya kushtukiza, sasa hapo SURA yake inachangia nini katika uwezo wake kiakili!! Niseme wazi kwamba utehuzi wa Kairuki katika wadhifa wake, aliye tekeleza utehuzi huo akubahatisha - mama huyo ni mkali kiakili haziko mbali na za Prof. A.K Tiba.
Naye ni Waziri huyo! Hivi kigezo cha kuteuliwa waziiri kama Adam Malima, Philipo Mulugo ilikuwa ni nini hasa? Nadhani Angela Kairuki huenda uzuri ulikuwa ni kigezo
mzee wa kumiliki silaha zaidi ya moja na kutembea nazo! Pinda anasema rais hutumia taarifa nyingi ili mtu kuteuliwa kuwa waziri, je hazikuangaliwa?Anasema bei ya nafaka za ndani ikiwa juu serikali huagiza nafaka kutoka nje! Mwenye weledi na mambo ya kiuchumi atudadafulie hili. Mwisho, wale waliomwibia huyu muheshimiwa walikamatwa?
Kikoreee Nahavache,
Wee utakuwa hujamsikia Mh Pinda juzi kuwa uteuzi wa hawa Mawaziri na Waheshimiwa huwa wanapitia mchujo / mfumo mgumu sanaaaa...hadi kufikia lengo !
Venting huwa ngumu sanaaa...Yaaani hao ndio SUPER A+ .
Du mambo ya bastola