Hivi Jenista Muhagama ni Uwaziri anataka??

Hivi Jenista Muhagama ni Uwaziri anataka??

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,065
Reaction score
64,218
Nashangaa anakomaa na serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM. Atakua amesoma kwenye gazeti kwenye mawaziri watatu wanatakiwa wajiuzulu so anaanza kusotea nafasi moja wapo. Mtu anasimama hadi anakaa bila kuongelea wananchi walio mtuma anang'ang'ana na serikali sikivu. Ingekua sikivu Kikwete si angekua kashajiuzulu?. Mia
 
nashangaa anakomaa na serikali sikivu ya ccm serikali sikivu ya ccm serikali sikivu yaccm. atakua amesoma kwenye gazeti kwenye mawaziri watatu wanatakiwa wajiuzulu so anaanza kusotea nafasi moja wapo. mtu anasimama hadi anakaa bila kuongelea wananchi walio mtuma anang'ang'ana na serikali sikivu. ingekua sikivu kikwete si angekua kashajiuzulu?. mia

Mie namshauri dada yangu Mhagama apate short course ya Public speaking pamoja na wenzake wengi kutoka Chama cha Mapinduzi
 
Kwa kweli Jenista leo kanishangaza sana, anatetea vitu ambavyo havina kichwa wala miguu...ati kuna bilioni 3 zitatengwa na serikali sikivu ya CCM kwa ajili ya kutatua matatizo ya ajira ya vijana milioni 16....jamani hii ratio ya 3bilions kwa 16M mbona ni ya kusadikika sana!!!
 
Yaan leo KANIKERA!
Full kutapika na sauti yake tone iko JUU utazani anaimba aleluya kuu

Acha hizoo; ALELUIA KUU ina sauti tamu, sauti ya utukufu,
kamwe usilinganishe na sauti hiyo, plz, plz
 
hana jipya, anaacha kutetea wananchi jimboni kwake anabaki kuuza sura tu .
 
yaani alikua anaongea kwa sauti utadhani amambiwa jitetee kwa sauti la zivyo unanyongwa. mia
 
Nashangaa anakomaa na serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM. Atakua amesoma kwenye gazeti kwenye mawaziri watatu wanatakiwa wajiuzulu so anaanza kusotea nafasi moja wapo. Mtu anasimama hadi anakaa bila kuongelea wananchi walio mtuma anang'ang'ana na serikali sikivu. Ingekua sikivu Kikwete si angekua kashajiuzulu?. Mia

Shauri yake, mimi natangaza nia Kugombea ubunge jimbo la Peramiho 2015, sidhani kama atarudi tena

CC Lizabon, ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa anakomaa na
serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM.
Atakua amesoma kwenye gazeti kwenye mawaziri watatu wanatakiwa wajiuzulu
so anaanza kusotea nafasi moja wapo. Mtu anasimama hadi anakaa bila
kuongelea wananchi walio mtuma anang'ang'ana na serikali sikivu. Ingekua
sikivu Kikwete si angekua kashajiuzulu?. Mia

Aisee mzee wa mia unajua kusoma alama za nyakati! huyu mama ni hewa tu.
 
Huyu mama akianza kuongea na ccm yake mashetani yanampanda na unaweza kusema atasalula nguo sasa hivi,anafikiri watu wanarubuniwa na neno sikivu.
 
ha ha ha jenista atawakomesha acha awaparue chadema hakuna wakumtoa jimboni nenda peramiho na chadema yako uone kama utapata hata watu ha ha ha jenista chapa kazi
 
yaani alikua anaongea kwa sauti utadhani amambiwa jitetee kwa sauti la zivyo unanyongwa. mia

I love Jf, sitegemei wenye akili dhaifu kama Nkamia na Jenista kuipenda. jf ni jukwaa huru la mitazamo na fikra binafsi juu ya jambo lolote.
Ukikandiwa na juu ya 50% ya michango hapa unatakiwa ujirekebishe, u have to take it positively vinginevyo itaku cost.

Hili ni kama bunge la kweli la wananchi.
 
Hao ndiyo wasemaji wa Serikali ya JK
yaani full shame.
 
Oil chafu hiyo,ameshakuwa USED sana,alinogewa na kutumika mpaka akamtelekeza mume wake,hana lolote!

aya aya...kumbe kamuacha yule jamaa machakarikaji aliyekuwa kimuona hajasoma?Mi ananiudhi na sauti yake ya ki bar maid.

kambi ya magamba ni kama collection ya misukule.Bahati mbaya hata agenda zao ni za kipuuzipuuzi tuu.Anasimama mbibi masikini kachoka, anaonekana wazi enzi zake alikuwa malaya full, kw ajinsi alivyo, ngozi imechakaa ila bado anajichubua.

Anasimama anaongea mchanganyiko wa kutetea haki na kuongea ukweli ukweli, na issue za amani, issue za uhuru wa kuongea na kupata uhuru, na mifano isisyofaa ya sijui rwanda na kwingine.


Sasa hivi wanakomaa sijui na amani, sijui maneno ya uchochezi, sijui na maadili ktk njia amabyo inaonekana ama hawayajui hayo maneno na tafsiri halisi ya maneno haya na wapi yana apply ktk maisha ya kawaida.


Ni CCM tuu wanaweza jidanganya kwa uongo waliotunga wao wenyewe.Tuwashauri tuu wasitunge tena uongo kwani mara zote uongo huwarudi kwa vile walengwa wana akili kubwa kushinkwa na huo uongo.


Sasa hivi tutegemee kusikia CCM wakiitwa magaidi ktk mikutano ya hadhara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom