Kwa bajeti hii tunawakomboa vijana?

Kwa bajeti hii tunawakomboa vijana?

Joined
Apr 3, 2012
Posts
28
Reaction score
7
Jana waziri wa habari,vijana,utamaduni,na michezo mh. Mkangara alisoma bajeti ya wizara yake lakini pesa za maendeleo ni milion mia sita tu wakati matumizi ya kawaida ni bilion Ishirini,

Hebu angalia wizara iliyobeba nguvu kazi ya taifa yaani vijana,weka habari,utamaduni bila kusahau michezo wanaweza jitengea kiasi kidogo hivi kwa maendeleo yaani kila idara ukigawa inapata mil 150 tu je hapo tunalenga kuliinua taifa?

Mimi nafikiri tunapiga hatua kurudi nyuma badala ya kwenda kanaani kwenye ukombozi wa kiuchumi wa taifa letu,sijui wataalamu wa wizara hawashirikishwi ktk kuandaa hizi bajeti ama vipi?wenzetu kenya wametoa kipaumbele kwa vijana sie tunatoa kipaumbele kwenye vitafunwa je tutafika?
 
Ccm imesha zowea kuwatumia vijana kama salama na lady p, mkishawapa madaraka mnachapwa mabomu ya machozi na maji washa.
amkeni mapema.
 
Back
Top Bottom