Nchimbi atoa msamiati mpya

Nchimbi atoa msamiati mpya

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
Akisoma taarifa mpya Bungeni waziri Nchimbi amesikika akitamka wazi askari wawili wamejeruhiwa kwa Bomu la kishindo huko Mtwara. Kuna maswali kadha wa kadha juu ya hii kauli ya bomu la kishindo ni bomu gani? Na limerushwa na kina nani. Ndo yale yale ya ncha kali au kitu kizito kimetoka kusiko julikana leo tunasikia bomu la kishindo.
 
Huyu ameathirika na ule wizi wa kura na kuuita ushindi wa Kishindo!!!
Unakimbuka juzi alidanganya kuwa bible imesema bora Mwizi kuliko Munafiki????????????
 
Mi mwenyewe kanchanganya kweli, niliposikia neno hilo nikahisi vyombo vya habari vinakosea kunukuu. Bomu la kishindo ndo likoje hilo wataalamu mtujuze.
 
Nakumbuka alitoka nduki na sanduku la kura. Eti nae anautaka urais..
 
Huyu ameathirika na ule wizi wa kura na kuuita ushindi wa Kishindo!!!
Unakimbuka juzi alidanganya kuwa bible imesema bora Mwizi kuliko Munafiki????????????
nasikia nchimbi kuna kitu aliwahi kumfanyia mtoto wa malecela au
 
Mi mwenyewe kanchanganya kweli, niliposikia neno hilo nikahisi vyombo vya habari vinakosea kunukuu. Bomu la kishindo ndo likoje hilo wataalamu mtujuze.

Labda la kudondoshwa na ndege
 
Back
Top Bottom