Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

" Haitoshi kabisa kulifahamu jambo. Kuambiwa ni habari tu, unaambiwa na unafahamu, unajua kwamba tukio Fulani limetokea. Gumu zaidi ni kuelewa mantiki ya hilo jambo, na hata baada ya kufikiria na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je kuna uhusiano wowote wa hilo Tangazo na M4C au Movement for Change ya CHADEMA wanayoitangaza Tanzania nzima? Ninachomaanisha ni kwamba hao watu kwenye hicho kijiji wanaelewa hilo Tangazo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Unajua humu kutwaaa oh Makinda kafanya hiki kikwete kafanya like mnalakamika kwelikweli.Wewe binafsi umechangia nini Kwenye serikali ya Tanzania ?au ndio Nyie mnaosubiri serikali kuwalisha,umeme...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wana jf.npo hapa mkoani tabora now tangu jana ccm wameanza kuzunguka katika baadhi ya kata ambazo zitto alifungua matawik.vile kakola walikuwepo jana na leo hii wapo stendi ya zamani pale pale...
0 Reactions
72 Replies
5K Views
WIZARA YA NISHATI NA MADINI SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI TANZANIA TAARIFA KWA WATANZANIA NAMNA MIKOA YA MTWARA NA LINDI INAVYONUFAIKA NA UTAFUTAJI NA UENDELEZAJI WA GESI ASILIA...
4 Reactions
107 Replies
16K Views
THE CIVIC UNITED FRONT- (CUF – CHAMA CHA WANANCHI) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 24/05/2013 GHASIA ZA MTWARA. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba TTHE...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
........ kusema ukweli kama kwenyu, kwenyu ni kwenyu, si tunasemaga shenu ni shenu. Kama mtu amezaliwa mahali akuje tu kwa roho safi. Yaani kuhepa hepa anakwenda huko na huko Tanzania sasa ni...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Bado tupo katika mjadala unaowahusu walalahoi wa iringa mjini(jimboni kwa mchungaji msigwa) ambao waliamua kujishughulisha na biashara ndogondogo ili kujipatia kipato,hawa ni wamachinga waliokuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuanzia utawala wa Ben Mkapa hadi leo tumeshuhudia wizi wa fedha kwa njia mbalimbali,kama vile fedha taslim,fedha kwa commissions kupitia mikataba, manunuzi, kupitia utekelezaji wa miradi ya...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Katika harakati za kuzima moto uliowashwa jimboni Kongwa na wabunge wa CHADEMA ambao naibu spika huyo aliwafukuza bungeni (Sugu, Msigwa, Wenje etc), Jobu Ndugai amekutana na zomea zomea karibu...
14 Reactions
67 Replies
7K Views
Aliyekuwa mshindi wa pili na mgombea ubunge wa jimbo la Magu kupitia chama cha wananchi CUF mwaka 2005na 2010,Laurian ILOLE Lukona,amefariki jioni hii ya leo.Mungu Ailaze roho yake mahali pema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ngeleja awalipua upinzani Bungeni leo kuwa lengo lao ni kupinga hoja zinazoletwa mezani na Serikali ya CCM. Hii ikiwa ni lengo lao kuu la kutaka kushika madaraka. Wao muda wote wako kuhangaikia...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Kwa wale waliofuatilia hotuba ya Rais M7 mbali na uzuri wa hotuba yake-hivi ni kwa nini hajabainisha mchango wa Tz katika ukombozi kusin mwa Afrika badala yake kasifia...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
ndugu wanajanvi kama haujawahi kujionea basi sikia hapa huyu mtu ni mkuu wa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere cha kigamboni karibu miaka 20 sasa yupo katika chuo hiki,alistaafu akapewa miaka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni maneno ya wabunge vilaza na omba omba wa ccm-magamba wakihadaa watz kuwa rais obama atakuja na zawadi, hivi watz ni wajinga kiasi gani kutegemea zawadi kwa wazungu?taifa tegemezi haiwezi...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimesikiliza Bunge kwa makini. Nilichostaajabu nimaeneo mengi muhimu kuwa underfunded na Waziri kudai hakuna hela na usanii mwingine. Hakuna asiyejua jeshi ni la wananchi kama jina lake na katika...
1 Reactions
1 Replies
844 Views
Kwa alieyewasikia, msigwa, mbowe, Mnyika, Sugu na Lema hakuna doubt.Ataona CHADEMA wanavyoicommad CCM.Wanavyosema na kinakuwa.CCM wenyewe wakiongoea wanaangalia kivuli cha CHADEMA.Wakifanya...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Sasa inakuwa dhahiri jinsi gani watu duni walivyo duni siku zote.Sasa ni wazi hakuna tena mwenye mashaka na mawazo ya wazee wa CHADEMA haswa Mtei aliyeandamwa sana kuwa kaweka watu sijui kwa nini...
6 Reactions
98 Replies
7K Views
hivi naibu wa wizara ya afya Bwana Seif ni daktari kweli? graduate wa wapi? maana anantia wasiwasi kidogo juu ya uwezo wake.
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Jamani hembu tuelezeni hizi fikra mbovu:Kuwa kuchakachua rasilimali asili pale zitokapo kunapunguza vipi pato na taifa? Au kubadili vipi utendaji wa hazina na matumizi ya serikali hadi watu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…