M4C na hili Tangazo!

M4C na hili Tangazo!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,295
Reaction score
17,373
20130525_MAP001_412.jpg

Je kuna uhusiano wowote wa hilo Tangazo na M4C au Movement for Change ya CHADEMA wanayoitangaza Tanzania nzima? Ninachomaanisha ni kwamba hao watu kwenye hicho kijiji wanaelewa hilo Tangazo linamaanisha nini? (Hiyo Picha siyo kijiji cha Tanzania)
Na kama hawaelewi Je aliyeliweka alikuwa anamlenga nani? Ni kwa nini ameliweka? Kwa nini asiandike kwa Lugha ambayo hao wataelewa?

Nimeuliza hivyo kwa sababu Bibi yangu Kijijini aliniuliza hivi hiyo M4C ndiyo nini, nikashindwa kumuelezea, nikabaki kujiuliza kama Bibi yangu yuko peke yake Tanzania, lkn alivyoona 'Nguvu Mpya Ari mpya' alielewa na hata kuanza kuhoji, hiyo nguvu mpya yenyewe wanayoiongelea iko wapi hawa CCM?
 
Unapaswa kuwa mwalimu wake. Hata naibu waziri wa nishati na madini (n) ameshauri hivyo kuwa yule anayeelewa nia ya serikali kuhusu gesi ya Mtwara awaelimishe wananchi cause they cannot do everything. Upo?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
View attachment 95079

Je kuna uhusiano wowote wa hilo Tangazo na M4C au Movement for Change ya CHADEMA wanayoitangaza Tanzania nzima? Ninachomaanisha ni kwamba hao watu kwenye hicho kijiji wanaelewa hilo Tangazo linamaanisha nini?
Na kama hawaelewi Je aliyeliweka alikuwa anamlenga nani? Ni kwa nini ameliweka? Kwa nini asiandike kwa Lugha ambayo hao wataelewa?

Nimeuliza hivyo kwa sababu Bibi yangu Kijijini aliniuliza hivi hiyo M4C ndiyo nini, nikashindwa kumuelezea, nikabaki kujiuliza kama Bibi yangu yuko peke yake Tanzania, lkn alivyoona 'Nguvu Mpya Ari mpya' alielewa na hata kuanza kuhoji, hiyo nguvu mpya yenyewe wanayoiongelea iko wapi hawa CCM?
wenzio tukiulizwa jibu letu ni rahisi tu, yaana ni mabadiliko ya utawala dhalimu. hivyo ukiulizwa tena hilo ndio jibu lake. vinginevyo utakuwa unadanganya akili yako kama wanavyojidanganya Magamba kwa kuona kwamba siasa ya majimbo ni ya kibagusi kuliko mikoa wakati mikoa ndio imekaa kibaguzi zaidi kuliko kanda yenye kukusanya makabila mengi
 
Huyo huyo bibi muulize anajua neno TANU au CUF ni mnyama au ndege! kama atasema ni chama cha siasa muulize amejuaje.
 
Ukiona bibi yako mpaka anakuuliza kuhusu M4C ujue lengo limefanikiwa.Swali aliwahi kukuuliza kuhusu CUF nini?Taratibu kadri muda unavyosonga mbele na wewe kadri unavyoendelea kufanya snap-shot survey yako na watu wa umri wote ndivyo maswali yako yatakavyo pata majibu.Jifunze kuumiza bongo unapokabiliwa na maswali kama hayo usipende kuyatafutia majibu mepesi mepesi kama wanaCCM wengine wanavyofanya.
 
Kwa hiyo mkuu unawashauri waje na kauli mbiu kwa lugha ya kiswahili siyo?
 
Huyo huyo bibi muulize anajua neno TANU au CUF ni mnyama au ndege! kama atasema ni chama cha siasa muulize amejuaje.

Asingeweza kujua maana ya TANU na ndio maana nafikiri labda ikabadilishwa na kuwa CCM au Chama Cha Mapinduzi ambapo Bibi yangu anaelewa bila shida, CUF wala NCCR haelewi na ndio maana hata hasumbuki nao, ila Chama cha Demokrasia na Maendeleo anaelewa maana yake na anawakubali ila wanamchanganya hapo tu kwenye M4C maana yake!
 
View attachment 95079

Je kuna uhusiano wowote wa hilo Tangazo na M4C au Movement for Change ya CHADEMA wanayoitangaza Tanzania nzima? Ninachomaanisha ni kwamba hao watu kwenye hicho kijiji wanaelewa hilo Tangazo linamaanisha nini?
Na kama hawaelewi Je aliyeliweka alikuwa anamlenga nani? Ni kwa nini ameliweka? Kwa nini asiandike kwa Lugha ambayo hao wataelewa?

Nimeuliza hivyo kwa sababu Bibi yangu Kijijini aliniuliza hivi hiyo M4C ndiyo nini, nikashindwa kumuelezea, nikabaki kujiuliza kama Bibi yangu yuko peke yake Tanzania, lkn alivyoona 'Nguvu Mpya Ari mpya' alielewa na hata kuanza kuhoji, hiyo nguvu mpya yenyewe wanayoiongelea iko wapi hawa CCM?

Ni kweli kabisa,tutakataa tu lakini kuna logic iliyojificha.
 
View attachment 95079

Je kuna uhusiano wowote wa hilo Tangazo na M4C au Movement for Change ya CHADEMA wanayoitangaza Tanzania nzima? Ninachomaanisha ni kwamba hao watu kwenye hicho kijiji wanaelewa hilo Tangazo linamaanisha nini? (Hiyo Picha siyo kijiji cha Tanzania)
Na kama hawaelewi Je aliyeliweka alikuwa anamlenga nani? Ni kwa nini ameliweka? Kwa nini asiandike kwa Lugha ambayo hao wataelewa?

Nimeuliza hivyo kwa sababu Bibi yangu Kijijini aliniuliza hivi hiyo M4C ndiyo nini, nikashindwa kumuelezea, nikabaki kujiuliza kama Bibi yangu yuko peke yake Tanzania, lkn alivyoona 'Nguvu Mpya Ari mpya' alielewa na hata kuanza kuhoji, hiyo nguvu mpya yenyewe wanayoiongelea iko wapi hawa CCM?

Yawezekana ni masalia ya MAGAMBA hivyo hawezi kuelewa kitu. Mimi nyanya yangu ana miaka 101, lakini kwa M4C ni kama mishipa na damu. Shikamoo yake umwambie PEOPLES' anajibu POWER!
 
in shot u are not rwong.bt u ned to focus more to found out abt m4c in africa.i do say in africa its time 4 a change in af.diferently in tz its look lake ist an afairs of only one party chadema. no we ned to work on it al of us.u and me .from drc
 
Kuna kaukweli lakini ukipinga utajuta...
 
Asingeweza kujua maana ya TANU na ndio maana nafikiri labda ikabadilishwa na kuwa CCM au Chama Cha Mapinduzi ambapo Bibi yangu anaelewa bila shida, CUF wala NCCR haelewi na ndio maana hata hasumbuki nao, ila Chama cha Demokrasia na Maendeleo anaelewa maana yake na anawakubali ila wanamchanganya hapo tu kwenye M4C maana yake!

Wazee walikuwa hawana haja na kirefu cha CUF wala NCCR alimradi wanajua kwamba ni vyama vya siasa. Halafu kumbuka kule kijijini kwenu CUF na NCCR vilifika mapema zaidi ya CHADEMA kwa sera. M4C haina kiswahili rahisi lakini kwa vile CUF ni wajanja zaidi ya CDM, wenyewe wakaja na V4C (Vision for change) lakini wakawa wanaipigia upatu kuwa ni Dira ya Mabadiliko ( Simple and clear).

Hebu tafsiri M4C kwa kiswahili cha kuleta hamasa uone utakavyotka povu na kuzunguka zunguka!
 
Ukiona bibi yako mpaka anakuuliza kuhusu M4C ujue lengo limefanikiwa.Swali aliwahi kukuuliza kuhusu CUF nini?Taratibu kadri muda unavyosonga mbele na wewe kadri unavyoendelea kufanya snap-shot survey yako na watu wa umri wote ndivyo maswali yako yatakavyo pata majibu.Jifunze kuumiza bongo unapokabiliwa na maswali kama hayo usipende kuyatafutia majibu mepesi mepesi kama wanaCCM wengine wanavyofanya.
Hah hah..Ndio maana magmba hawapendi sana JF ingawa wanaitegemea sana....kwani hakosekani mtu anasema kitu ch amzaha ila kinauma sana,kitu inayo derail mpango mzima.

Yaani akiuliza ajue kuna interest....na kaimjibu amjibu kwa adabu asijeshangaa bibi anamwita gamba.(Gamba gamba X7X70)
 
Back
Top Bottom