Apumzike kwa amani

Apumzike kwa amani

Greda

Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
95
Reaction score
9
Aliyekuwa mshindi wa pili na mgombea ubunge wa jimbo la Magu kupitia chama cha wananchi CUF mwaka 2005na 2010,Laurian ILOLE Lukona,amefariki jioni hii ya leo.Mungu Ailaze roho yake mahali pema peponi.Amina
 
Mwenyezi Mungu amuweke anapostahili amina.
 
Back
Top Bottom