CCM-Tabora waanza kujibu mashambulizi ya Zitto

CCM-Tabora waanza kujibu mashambulizi ya Zitto

NKOTA

Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
16
Reaction score
15
Wana jf.npo hapa mkoani tabora now
tangu jana ccm wameanza kuzunguka katika baadhi ya kata ambazo zitto alifungua matawik.vile kakola walikuwepo jana na leo hii wapo stendi ya zamani pale pale alipotolea zitto hotuba.
Inasemekana wafuaao wapo hapa

  • lusinde
  • rage
  • kingwangwala

source vot-radio na matangazo ya ccm yanapita now
 
mkuu mbona kingwa yupo bungeni au anakuja na chopa?
 
Lusinde nae ni mtu wa kumualika kuja jimboni kwako?kweli ccm tabora wameishiwa leo ndoa nyingi zitavunjika tabora..lusinde atawambia wakina mama wa tabora wanamimba haram..badala ya ccm kuongeza wanachama..leo wanapoteza wengi
 
Chadema wameibip ccm kwa kuivvruga tabora.watajuta vijana kwa kujiunga chadema
 
...rage anapanda jukwani.vijana wameanzisha vurugu.watu wanapigana kiana.......mtu anapigwa rage anakataza..
 
kijana wa chadema awekwa kwenye gari ya polisi kwa USALAMA ZAIDI..........
 
Rage atoa milion 68.kwa kata za tabora.na pikipiki mbili.
 
Back
Top Bottom