mwalim parite
New Member
- May 1, 2013
- 4
- 0
ndugu wanajanvi kama haujawahi kujionea basi sikia hapa
huyu mtu ni mkuu wa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere cha kigamboni karibu miaka 20 sasa yupo katika chuo hiki,alistaafu akapewa miaka mitao ya ziada akamaliza akapewa tena miaka mingine miwili mpaka 2014 na sasa anaanza kuomba tena aongezewe muda
kuacha mada kuwa badala la kujengwa kwa nyumba ya mkuu wa chuo ameenda kujenga nyumba yake ambayo anaishi sasa mji mwema,,yeye na familia yake wamekuwa wakitumia maliza umaa kama watakavyo mfano magari nk mpaka watumishi mfano madereva wamebaki kushangaa tu magari ya umma yanaenda kwenye mashamba binafsi rufiji na kutoa posa za ndugu,watoto na marafiki
hivi ninavyozungumza yupo na gari la umma akielekea musoma baada ya kutoka arusha kutoa mahari ya mwanae sasa wanenda kwenye send off musoma na kwa ushahidi anatumia gari no SU 36637 mbalo ameenda nalo huko kwa mafuta ya serikali na dreva anaepewa posho na aerikali
jibu lake nililelile la siku zote kuwa hakuna wakumtisha kwenye nchi hii
wako wapi maafisasa usalama wa enzi za nyerere?