Sumaye: Ukitumia kalamu kuingia Ikulu, utatumia risasi kung'ang'ania huko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumaye: Ukitumia kalamu kuingia Ikulu, utatumia risasi kung'ang'ania huko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jatropha, Oct 7, 2010.

 1. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Kufuatia wagombea urais ndani ya ccm kuchafuliwa na vyombo vya habari mwaka 2005 katika kile kinachodaiwa kuwa ni kitendo cha mgombea mwenzao mhe jakaya kikwete kuunda mtandao wa wahahriri na waandishi habari uliokuwa na jukumu la kuwachafua wagombea wengine kwa kashafa mabali mbali za kuzusha ili waonekane hawafai.

  Waziri mkuu mstaafu mhe frederick sumaye ambaye alikuwa mmoja wa watu wanaomba kuteuliwa kuwa mgombea urais wa ccm 2005; alipata kutamka kuwa mtu yeyeote anayetumia kalama (magazeti) kuwachafua wagombea wengine, akifika huko atatumia risasi kung'ang'ania ikulu asitoke.

  Katika kuthibitisha kuwa utabiri wa sumaye ulikuwa na ukweli ndani yake baadhi ya wahariri waliongoza katika kuwachafua wagombea uraisi wa ccm mwaka 2005 walikuja kuzawadiwa nafasi za kufanya kazi ikulu baada ya mhe jk kushinda na kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania.

  Sasa miaka mitano imepita tangu kutolewa kwa kauli hiyo ya mhe f sumaye. Hali ya mambo katika serikali ya jk inajidhihirisha kuwa yupo mbioni kutumia risasi za moto ili kung'ang'ania ikulu pindi atakapobwagwa katika uchaguzi mkuu wa oktoba 2010.

  Dalili hizo ni pamoja na mwezi mei 2010 pale jk alipotumia vitisho kuwatisha wafanyakzi wasiitikie mgomo ulioitishwa na tucta, ambapo alinukuu mauaji ya wafanyakzi wa kiwanda cha sukari cha kilombero na kudai kuwa itabidi wafanyakzi warejee katika meza ya majadiliano wakiwa na bandeji kama watajitokeza kugoma.

  Hivi karibuni baada ya dalili kuonyesha kuwa mgombea wa chadema dr slaa anaweza kumbwaga katika uchaguzi mkuu ujao, jwtz iliingilia mchakato wa uchaguzi wa ofisa mnadhimu wake aitweye abrahamna shimbo kutoa vitisho kwa wananchi.

  Ikizingatiwa kuwa mwaka 1978 nchi ilipovamiwa na majeshi ya nduli idi amin wa uganda na eneo la mkoa wa kagera kukaliwa, kama ilivyo ada ya majeshi ulimwenguni pote, jwtz haikukurupuka kujibu mapigo, hadi pale amiri jeshi mkuu wakati hayati mwalimu nyerere alipotoa amri ndipo jeshi likatoka kamabini.

  Swali safari hii nani ametoa amri kwa jeshi kutoka kambini na kuingilia mabo ya uchaguzi? Kwa kuwa majeshi yote duniani kama ilivyo jwtz huwa hayatoki kambini hata kama kuna uvamizi mapaka yapate amri kutoka kwa amiri jeshi mkuu, ni dhahiri kuwa usemi wa mhe sumaye wa risasi za moto kutumika kung'angania ikuliu upo karibuni kutimia 31 okotoba 2010.

  Source: Mwanahalisi oktoba 13-19, 2010
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa alitumia vyombo vya habari kuwa chafu wenzake akina Dk Salim A. Salim na Sumaye na hawakulingunduhilo mapema walikuja kugundua Kikwete na timu yake walishaeneza sumu kwa wana CCM, Ndiyo maana Mtu kama sumaye/Salim hawajihusishi sana kwenye serikali ya JK hiyo inaoyesha wanakinyongo nae, hii ni faida kwa upinzani....
   
 3. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,164
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Yes I do remember hii kauli ya ndugu Sumaye, Alisema wakati anarudisha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais mwaka 2005. Alikerwa sana na namna vyombo vya habari na Mtikila walivyotumika kumchafua yeye (Sumaye) na waombaji wengine ndani ya SISIEM. Alisema "Mtu anayetumia kalamu kuingia madarakani kwa kuwapaka matope wenzake, akishaingia madarakani atatumia mtutu wa bunduki kutaka kusalia madarakani". Ni miaka mitano tu tangu kauli hii itolewe na sasa tumeanza kushuhudia Vitisho vya JWTZ, FFU na TISS lengo likiwa ni lilelile - Kusalia madarakani kwa Mbinu ya Mtutu wa Bunduki.

  Watanzania kiongozi wa namna hii ni dhaifu, asiyejiamini, mwoga, asiye na opeo, msanii na njia pekee ya kumbakiza madarakani na Mabavu.

  Fanya UAMUZI SAHIHI, TANZANIA NI YAKO, NI YETU SISI WOTE. Si ya Nyerere, Jakaya, Slaa nk. Tanzania sio ya CCM, Chadema, CUF nk. Ni ya Watanzania wote, kizazi cha juzi, jana, leo na kesho. Vyama vitapita, Sisi tutapita, lakini kizazi cha Watanzania kitadumu milele.

  Masilahi ya Watanzania kwanza...... Hata kama utakuja mtutu wa bunduki, hakika mtanzania usichague udhaifu na woga na ubabaishaji. Chagua maendeleo.
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  Kazi moja tuliyonayo ni kumfuta kazi JK na CCM yake hapo tarehe 31st Oktoba mengine watajaza wao wenyewe
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua JK akikomaa kwa kuchakachua kura Mungu yupo atasikia kilio cha waja wake ambao ndani ya nchi yao wanaishi kama wakimbizi
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Labda aalike na jeshi la kenya, wapo vijana wengi waliomaliza chuo wapo kwenye mafunzo, nina imani kubwa hawataisaliti elimu yao, ndugu zao na nchi yao.
   
 7. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  sasa yametimia kama yalivyosemwa,lets maka changes
   
 8. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kweli utu uzima dawa, Sumaye alisema ya ukweli, na haya ya Shimbo ndio yanatufungua macho.Ila Mungu si JK na husikia na kuona haja za waja wake natumai atatupa ufumbuzi na labda ndio yale aliyotabiri Yahaya yatamkuta JK,tusichoke kuomba na siku ya kupiga kura tuiitokeze kuwapiga chini CCM na JK.
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tanzania tanzaniaaa,nakupenda kwa moyo woteee,nchi yangu tanzania jina lako ni tamu sanaaaaaaaaaa.
  mabata ushungu walahiiiiiiiiiiii.
   
 10. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Ya, Sumaye kweli alisema hivyo na ianaanza kutokea...sory imetokea(afande suzana aliepigwa risasi na walinzi wake Mara)
  JK alihonga sana kuingia ikulu, yaani alihonga ile mbaya! kuna waandishi leo wamenufaika mno na hongo ile......
   
 11. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Hii ni kweli hata majina yao tunayo - sasa hivi wanahaha kumnusuru bosi wao hasa wakikumbuka njisi alivyobadisha maisha yao - wengine walikuwa kwenye Collora na sasa hivi wako kwenye V8's. Dhambi itawatafuna.
   
 12. d

  dotto JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kumbe Sumaye alisema ukweli kuhusu JK....utabiri umetimia
  Yes I do remember hii kauli ya ndugu Sumaye, Alisema wakati anarudisha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais mwaka 2005. Alikerwa sana na namna vyombo vya habari na Mtikila walivyotumika kumchafua yeye (Sumaye) na waombaji wengine ndani ya SISIEM. Alisema "Mtu anayetumia kalamu kuingia madarakani kwa kuwapaka matope wenzake, akishaingia madarakani atatumia mtutu wa bunduki kutaka kusalia madarakani". Ni miaka mitano tu tangu kauli hii itolewe na sasa tumeanza kushuhudia Vitisho vya JWTZ, FFU na TISS lengo likiwa ni lilelile - Kusalia madarakani kwa Mbinu ya Mtutu wa Bunduki.

  Watanzania kiongozi wa namna hii ni dhaifu, asiyejiamini, mwoga, asiye na opeo, msanii na njia pekee ya kumbakiza madarakani na Mabavu.

  Fanya UAMUZI SAHIHI, TANZANIA NI YAKO, NI YETU SISI WOTE. Si ya Nyerere, Jakaya, Slaa nk. Tanzania sio ya CCM, Chadema, CUF nk. Ni ya Watanzania wote, kizazi cha juzi, jana, leo na kesho. Vyama vitapita, Sisi tutapita, lakini kizazi cha Watanzania kitadumu milele.

  Masilahi ya Watanzania kwanza...... Hata kama utakuja mtutu wa bunduki, hakika mtanzania usichague udhaifu na woga na ubabaishaji. Chagua maendeleo. CHAGUA CHADEMA. LIMBWATA LA JK LIMEVUNDA!!! ​
   
 13. d

  dotto JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kumbe Sumaye alisema ukweli kuhusu JK....utabiri umetimia
  Alisema "Mtu anayetumia kalamu kuingia madarakani kwa kuwapaka matope wenzake, akishaingia madarakani atatumia mtutu wa bunduki kutaka kusalia madarakani". Ni miaka mitano tu tangu kauli hii itolewe na sasa tumeanza kushuhudia Vitisho vya JWTZ, FFU na TISS lengo likiwa ni lilelile - Kusalia madarakani kwa Mbinu ya Mtutu wa Bunduki.

  . Chagua maendeleo. CHAGUA CHADEMA. LIMBWATA LA JK LIMEVUNDA!!! ​
   
 14. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,164
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Akichakachua kura zetu, Mungu wangu na Mungu wa Ibrahim na Isaka amchakachue naye vilevile na kuzidi.
   
 15. aye

  aye JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  Sumaye aliongea ya kweli jamani tufanye uamuzi sahihi Watanzania
   
 16. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280

  Asante mkuu afadhali wewe ni miongoni mwa watanzania wengi wasiokuwa na kale kaugonjwa ka usahaulifu.
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  JK angekuwa ni mtu wa kusoma alama za nyakati, angejiondoa tu kwenye kinyang'anyiro cha uraisi.
  Hakuna haja ya kubaki madarakani kwa mtutu wa bunduki.
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh sasa mbona naanza kuogopa??
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Si wewe tu, lakini kwa mtu yeyote anayejua madhara ya matumizi ya nguvu za kijeshi ndani ya nchi, basi lazima apate tashwishwi!...Jeshi lina nguvu sana, hasa pale linapopambana na watu wasio na silaha, hasara ni kwa raia, tena kubwa kupita maelezo!
  Sasa rais ambaye watu walimwamini hapo mwanzo kutokana na kuchekacheka, ghafla ndiye huyu anawageuka....anaandaa silaha ili kubaki madarakani!
  Kuna wataalamu hapa ndani walisema "Siasa ni jambo nyeti mno, kiasi kwamba haiwezekani kuwaachia Wanasiasa peke yao waiendeshe"
   
 20. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Usiogope. Hii ni mbinu yao tu! Fight for your rights.
  Bob Marley alisema " I have no fear for atomic enegy, cause non of them can stop the time!"
   
Loading...