Mzalendowetu
Member
- May 22, 2012
- 87
- 36
Mimi Mbunge wangu katika jimbo la Kilosa, Mh. Mkullo maji yapo shingoni, anasema kwa vile sasa yeye si Waziri, atapata muda mwingi wa kushughulikia kero za wanajimbo wake na hivyo kutimiza ahadi zote alizozitoa wakati anaomba kura mwaka 2010. Ametuhakikishia kwamba, ahadi alizoshindwa kutekeleza kwa karibu miaka 8, atazitekeleza zote kwa miaka 2 tu. Bravo' Mh.