Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,huu ni Uzi Maalum wa kutoa neno la faraja na kumtakia Heri kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu A Lissu aliyepewa kesi ya uhaini na...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Wakati Mwl Nyerere anasema sikilizeni kauli za wananchi kuhusu wagombea alikuwa amemaanisha nini? Hao wananchi wanaohitaji kusikilizwa ni akina nani, ni wajumbe, watu maarufu au wananchi gani hao...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Habari za Jumapili! Najulishwa hapa Ombi la Kuachiwa Tundu Lisu Lipo meza ya Wakuu linajadiliwa. Kuona kama umuhimu wa kumuachia kabla ya septemba 7. Yapo makundi mawili; Kundi moja linasema akae...
28 Reactions
107 Replies
7K Views
Imekuwa kawaida kuwa Bunge likishavunjwa Waheshimiwa Mawaziri wanakuwa ni wananchi wa kawaida mpaka hapo Serikali mpya itakapoundwa tena. Serikali mpya inapoundwa basi Mhe. Rais anateua tena...
0 Reactions
4 Replies
390 Views
Wanabodi, Naomba nianze kwa ku declare interest: Mimi Pasco wa JF ni mshabiki mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa, na kumchagiza yeye ndiye awe...
20 Reactions
148 Replies
15K Views
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan alipokutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati huo, Mhe. Tundu Lissu, jijini Brussels, Ubelgiji, tarehe 16 Februari 2022. Tukio hili...
1 Reactions
2 Replies
417 Views
Taarifa Kamili iliyosambazwa kote Duniani hii hapa Wote Mnakaribishwa
23 Reactions
110 Replies
7K Views
Fikiria kama huyo Luhaga Mpina akiondolewa kugombea Urais Uchaguzi huu, katika kubalance mambo mbalimbali na utamaduni wetu vitaonekanaje? Nahisi hawa hawa ACT wazalendo kuna kamchezo wanafanya...
1 Reactions
4 Replies
479 Views
Siasa za CHADEMA kwa miaka ya karibuni zimekuwa siasa za ki Mandela Mandela na Ki Martin Luther King(Ukipigwa shavu la kulia geuza na la kushoto). Hakuna Steven Biko na Malcom X tena (Jino kwa...
0 Reactions
2 Replies
238 Views
Naona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka. Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini...
0 Reactions
19 Replies
702 Views
Kwenye Uchaguzi wa kura za maoni CCM kwenye Jimbo la Hayati Job Yustino Ndugai, matokeo yaliyotangazwa na Karibu wa CCM wilaya ya Kongwa dr Isaya Moses Mngulumi amewashinda makada 12 Kwa kupata...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
katika Uislamu cheo na madaraka si kitu cha kung’ang’ania au kukipigania kwa hila. Mtume Muhammad ﷺ alitufundisha kuwa cheo ni amanah (uaminifu) na mzigo mkubwa kwa mwenye kupewa. 🔹 Dalili kutoka...
4 Reactions
24 Replies
933 Views
Inaonekana Leo mahakama inaweza isioneshe kesi ya Lissu Live. Maana mpaka muda huu wanashauriana kama wairushe live au lah. Hii ni kuandaa watu kisaikolojia pale itakapotangazwa ya kwamba mahakama...
0 Reactions
3 Replies
704 Views
Mafanikio katika sekta ya madini ni pamoja na kuongezeka kwa uzalishaji wa madini kutoka tani 7.9 mwaka 2020 hadi tani 42.5 mwaka 2025, hivyo jumla ya madini yaliyopatikana ni tani 50.4...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
MNEC TOUFIQ TURKY AAHIDI KUENDELEZA UFADHILI WA WALIMU WA MADRASA Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Toufiq Salim Turky amekutana na viongozi mbalimbali wa...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
TUWE WA KWELI, HIVI NI NANI ANGEWEZA HAYA? Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia kuanzia Machi 2021 hadi Aprili 2025, Mikoa ya Shinyanga na Kahama ambayo ni Mikoa ya kimadini imeweza...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Ni mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi...
13 Reactions
16 Replies
1K Views
Huyu Mzee wa Makamo wa nchi Jirani nimemuona kwenye mwendokasi huko kimara akiongea kwa hisia kubwa. Anasema hapa kwetu tumekuwa na bahati kubwa kuepuka changamoto walizonazo.huko kwao. Ukweli...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Mimi sijasomea sheria japo nimeshangaa kuona wakili msomi akihangaika kutaka kutafsiri maamuzi ya mahakama kuu akiwa kwenye mahakama ya mwanzo. Kama alishindwa kuhoji maana ya maamuzi ya mahakama...
1 Reactions
8 Replies
500 Views
Hii si sawa na lazima isemwe. Mhe.Rais samia ameendelea kuwa mwenye nia njema sana ya kuondosha malalmiko ya jamii hususani katika muktadha wa kisiasa. Baada ya tuhuma za uongo na zilizosukwa na...
1 Reactions
16 Replies
935 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…