Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema amewataka wakazi wa Arusha, kujiandaa kwa maandamano hadi bungeni Dodoma, kupinga kuwasilishwa muswada wa mabadiliko ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, badala ya...
5 Reactions
121 Replies
8K Views
Ndugu wanajJF nyie ni mashahidi tumesikia vilio vingi vya wasanii, kuanzia, MH; SUGU na leo dada yetu ambaye ni moja ya vioo vya muziki(Role Modal) wa wanawake ktk muzk wa kzazi kipya Lady Jay Dee...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna aina mbili za mataifa maskini; Kuna taifa ambalo ni maskini lisilo kuwa na matumaini na kuna taifa ambalo ni maskini lakini lenye jitihada. Taifa lolote maskini na lenye jitihada ni lazima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF salute kwenu wakuu? Uwajibikaji, uwazi, uthubutu, na uamuzi mgumu ambao waziri wetu mkuu Mh M.P Pinda aliofanya au ambao hajawah kuufanya viwe keys ya hoja yetu ili kujua kama kweli...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naibu Spika wa Bunge,Ndugu Job Ndugai amesema kuwa kuanzia sasa hatamwadhibu Mbunge yeyote anayeleta vurugu Bungeni kwakuwa amechoka lawama. Akihojiwa na Redio One Stereo katika kipindi cha...
9 Reactions
100 Replies
8K Views
Akichangia bajeti ya wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi jiono hiii,mh.Shibuda ameikejeli serikali kwa kuitaka ianzishe uzazi wa mpango kwa wanyamapori kama imeshindwa kudhibiti tatizo la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Habari nilizozipata hivi Punde ni kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimeitisha mkutano wa dharura makao makuu leo muda mfupi kutoka sasa. Lengo la mkutano huo bado kujulikana...
20 Reactions
329 Replies
24K Views
Leo wizara ya marekani ijulikanayo kama US. Department of State imetoa ripoti yake juu ya vitendo vya kigaidi kwa mwaka 2012 ulimwenguni kote. Humo ndani wameelezea kwamba tangu mwaka 1998 hamna...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Lowassa: Sina shaka na umaarufu wangu . Jumanne, Mei 28, 2013 03:41 Na Eliya Mbonea, Monduli . MBUNGE wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amesema hana shaka na umaarufu...
2 Reactions
105 Replies
9K Views
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema Watanzania wengi walio ughaibuni wanaathirika sana na suala la uraia wa nchi mbili. Membe alitoa kauli hiyo mjini hapa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hatma ya rufaa dhidi ya Mbunge wa Mwibara,Mh.Kangi Lugola inatarajiwa kujulikana leo,Wakati mahakama ya rufaa itakapotoa uamuzi wa hoja ya mpinzani wake,CHIRIKO HARUNI DAVID wa CHADEMA, ambae...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa Maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa umma yatafanyika Ghana. Watumishi 4 kutoka kila wizara na taasisi za umma watahudhuria, pamoja na viongozi wao. My take: Kama hili ni kweli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Wanabodi, Natanguliza msamaha kwa wale wote watakaokuwa na tafsiri hasi ya uzi wangu.Ila kama wahenga walivyosema kuuliza si ujinga.Naomba kwa uzi huu,nisitafsiriwe kuwa mimi ni mdini bali ni...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Bungeni ndo mahali penye kila aina ya fani, kuna madaktari, walimu, wanasayansi ,wachumi nk. Kwa ujumla wao sisi tunawaita wanasiasa. Katika hali ya kushangaza, sio kwa wanaojiita wapinzani, wala...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
MBUNGE wa Mwibara, KangiLugola (CCM) amefichua siri ya sababu ya Kamati ya Wabunge wa Chama ChaMapinduzi (CCM) kuwaweka kitimoto yeye na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe. Akizungumza katika...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
MBUNGE wa Liwale, FaithMitambo (CCM), amekishutumu Chama Cha Wananchi (CUF) kwamba ndicho kilichoasisivurugu zilizotokea jimboni kwake. Mbunge huyo pia alilaumu Jeshi la Polisi kwakushindwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHE. SYLVESTER MHOJA KASULUMBAYI (MB) KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA 2012/13 NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA WIZARA YA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mabadiliko katika ukurasa wa 8 aya ya pili inayoanza na maneno ‘Mheshimiwa Spika, Kwa upande wa chama cha CUF....na kuishia na maneno…Israel Liberal ' sasa isomeke: "Mheshimiwa...
3 Reactions
131 Replies
11K Views
Ofisi ya wilaya ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema inawataka wote wenye nia na wadau wenye mapenzi mema na chama wasaidie kujenga chama. Hii inatokana na programu mpya ya chama inayo...
2 Reactions
3 Replies
989 Views
SUNDAY, APRIL 28, 2013 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Kenya Mhe Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakati alipowasili leo jioni kuhudhuria...
1 Reactions
72 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…