Mwenye kupinga 'kauli ya Pinda', huyo ni adui wa nchi.

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Wana-JF!

Ingawa kumekuwa na upotoshaji wa aina yake humu jamvini na kwengineko, kuhusu kauli ya mhe. Pinda, ila ukweli utabaki palepale kuwa mhe. Pinda ametoa kauli sahihi kwa wakati sahihi.

Kauli ya mhe. Pinda imepewa tafsiri ya uongo, kuwa imevunja katiba, hali iliyo pelekea wengi wenu kustaajabu kuwa ina kuwaje mwanasheria mkongwe kama mhe. Pinda kufanya hivyo, ila ukweli wa kauli yake mhe. Pinda ni huu hapa;

Mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu, hakuwa ana maanisha kuwa polisi wapige tu raia hovyo hovyo, lah hasha, bali alimaanisha polisi wadhibiti kwa maana ya kuwapiga raia wenye kukaidi maagizo ya dola.

Wote humu jamvini tunajua ni wajibu wa polisi kulinda raia na mali zao, lakini kwa vurugu za hivi karibuni, usalama wa raia umekuwa hatarini, kutokana na fujo za vyama vya siasa, kwa hali kama hiyo, serikali ni lazima ingetoa kauli, kauli yenyewe ndio hiyo ya mhe. Pinda.

Kauli ya mhe. Pinda imekuwa faraja kwa wapenda amani na utulivu wa hapa nchini, lakini imekuwa ni mwiba kwa wapenda fujo na maandamano yasiyo na tija yoyote kwa taifa.

Mhe. Pinda asante, TAIFA LIPO SALAMA SASA.
 
Mwl Nyerere alishasema nchii inaongozwa na katiba na si mtu kushauriwa na mke wake afu anaibuka na mawazo ya kishetan kama pinda.Nina uhakika Mama TUNU hawez kuwa na mawazo kama haya ila sema pinda yeye ni mpuuz na mlev wa cheo alichonacho.
Na ww unaemtetea tuwekee hilo tamko la Pinda linarefar kipengele gan cha sheria ya katiba ya Tanzania?
One day yes pinda na watu wa ajabu kama wenye mawazo yaliyo fanyiwa standardization mtatuambia mlifanya haya kwa kutumwa na nan! Period
 
Iwapo polisi watamalizana na wahalifu mitaani magereza yafungwe? Jeshi la magereza lifutwe? Hayo mauaji, rushwa na uonevu wa polisi mitaani mtaviweza? Kwa hiyo CCM mnatangaza utawala wa ki-dictator Tanzania?
 
Unafahamu maana ya utawala wa sheria? Sasa kama polisi wakihukumu moja kwa moja mahakama zitakuwa na kazi gani? zifutwe?!!!!

Hivi kwanini msianze kuweka mgomo wa kuzuia polisi kuwa na gari la majiwasha, mabomu ya machozi n.k?

Lile ni jeshi, linapo lazimika kutumia risasi za moto kwa wale wananchi wenye kukaidi maagizo ya vynmbo ya dola na wenye kuhatarisha amani, inabidi zitumike.
 
Hivi kwanini msianze kuweka mgomo wa kuzuia polisi kuwa na gari la majiwasha, mabomu ya machozi n.k? Lile ni jeshi, linapo lazimika kutumia risasi za moto kwa wale wananchi wenye kukaidi maagizo ya vynmbo ya dola na wenye kuhatarisha amani, inabidi zitumike.
Pinda aliongelea "vipigo" na siyo mabomu ya machozi wala maji ya kuwasha! By the way bomu mlilotumia huko Arusha katika mkutano wa CDM lilikuwa ni bomu la machozi? Zile risasi zilizotumika je? Zilikuwa ni maji ya kuwasha? Kwa hiyo mnajitangazia utawala wa jino kwa jino Tanzania? Haya mtapata majibu!
 
katiba hairuhusu kupiga na ndio maana polis wanasema tukimshika muharifu tusimpige bali tumpeleke polis
 
Wana-JF!

Ingawa kumekuwa na upotoshaji wa aina yake humu jamvini na kwengineko, kuhusu kauli ya mhe. Pinda, ila ukweli utabaki palepale kuwa mhe. Pinda ametoa kauli sahihi kwa wakati sahihi.

Kauli ya mhe. Pinda imepewa tafsiri ya uongo, kuwa imevunja katiba, hali iliyo pelekea wengi wenu kustaajabu kuwa ina kuwaje mwanasheria mkongwe kama mhe. Pinda kufanya hivyo, ila ukweli wa kauli yake mhe. Pinda ni huu hapa;

Mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu, hakuwa ana maanisha kuwa polisi wapige tu raia hovyo hovyo, lah hasha, bali alimaanisha polisi wadhibiti kwa maana ya kuwapiga raia wenye kukaidi maagizo ya dola.

Wote humu jamvini tunajua ni wajibu wa polisi kulinda raia na mali zao, lakini kwa vurugu za hivi karibuni, usalama wa raia umekuwa hatarini, kutokana na fujo za vyama vya siasa, kwa hali kama hiyo, serikali ni lazima ingetoa kauli, kauli yenyewe ndio hiyo ya mhe. Pinda.

Kauli ya mhe. Pinda imekuwa faraja kwa wapenda amani na utulivu wa hapa nchini, lakini imekuwa ni mwiba kwa wapenda fujo na maandamano yasiyo na tija yoyote kwa taifa.

Mhe. Pinda asante, TAIFA LIPO SALAMA SASA.

aboubakr.jpg

Mtoto: polisi walinipiga risasi
 
HAMY-D

na hiyo uliyoitowa wewe ni tafsiri yako binafsi ya maneno ya Mhe Pinda hapa tunaanza kukuona wewe kama vile msemaji wa Mhe Pinda usiyekuwa official au wewe una Phd ya kumuelwa Pinda zaidi?

Ikiwa wewe umemfasiri hivo ujuwe na wengine wanauwezo wa kumfasiri vyengine na wakiwemo hao polisi.

Mkuu si unajuwa kwamba Pinda na yeye ni mswahili na anajuwa maana na tofauti baina ya maneno PIGA na DHIBITI,

sasa nikuomba uwache kumtilia maneno mdomoni mwake, kinachotoka mdomoni mwa mtu huanzia moyoni kwake kwahivo alichokisema ndio alichokikusidia.

Mhe Pinda ikiwa kama kiongozi wa dola anajuwa wazi kwamba anapashwa kutoa kauli ambazo hazina utata, lazima awe anatowa kauli ambazo hata mtoto mdogo afahamu anachokizungumia na makusidio yake.
 
Hiroshima,

ukichunguza kiundani utaona hivi

CCM ndio imo hivo katika kujiandaa na uchaguzi wa 2015, si unajuwa kutakuwa na kasheshe kubwa uchaguzi ujao na Mhe Pinda anayo good chance ya kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM. tanganyika munaweza kumwaga damu nyingi sana kama muhanga wa kiti cha urais
 
Vipi ina maana wewe ni exceptional kuliko waTanzania wengi? Maana tafsiri yako imetofautiana na wengi. Halafu polisi kupiga tu si wanavunja katiba pia? Kauli kama zawezatolewa na Museveni au Yahaya Jamme na kabla ya hapo walikuwa Mussolin na Hitler.
Wana-JF!

Ingawa kumekuwa na upotoshaji wa aina yake humu jamvini na kwengineko, kuhusu kauli ya mhe. Pinda, ila ukweli utabaki palepale kuwa mhe. Pinda ametoa kauli sahihi kwa wakati sahihi.

Kauli ya mhe. Pinda imepewa tafsiri ya uongo, kuwa imevunja katiba, hali iliyo pelekea wengi wenu kustaajabu kuwa ina kuwaje mwanasheria mkongwe kama mhe. Pinda kufanya hivyo, ila ukweli wa kauli yake mhe. Pinda ni huu hapa;

Mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu, hakuwa ana maanisha kuwa polisi wapige tu raia hovyo hovyo, lah hasha, bali alimaanisha polisi wadhibiti kwa maana ya kuwapiga raia wenye kukaidi maagizo ya dola.

Wote humu jamvini tunajua ni wajibu wa polisi kulinda raia na mali zao, lakini kwa vurugu za hivi karibuni, usalama wa raia umekuwa hatarini, kutokana na fujo za vyama vya siasa, kwa hali kama hiyo, serikali ni lazima ingetoa kauli, kauli yenyewe ndio hiyo ya mhe. Pinda.

Kauli ya mhe. Pinda imekuwa faraja kwa wapenda amani na utulivu wa hapa nchini, lakini imekuwa ni mwiba kwa wapenda fujo na maandamano yasiyo na tija yoyote kwa taifa.

Mhe. Pinda asante, TAIFA LIPO SALAMA SASA.
 
Wana-JF!

Ingawa kumekuwa na upotoshaji wa aina yake humu jamvini na kwengineko, kuhusu kauli ya mhe. Pinda, ila ukweli utabaki palepale kuwa mhe. Pinda ametoa kauli sahihi kwa wakati sahihi.

Kauli ya mhe. Pinda imepewa tafsiri ya uongo, kuwa imevunja katiba, hali iliyo pelekea wengi wenu kustaajabu kuwa ina kuwaje mwanasheria mkongwe kama mhe. Pinda kufanya hivyo, ila ukweli wa kauli yake mhe. Pinda ni huu hapa;

Mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu, hakuwa ana maanisha kuwa polisi wapige tu raia hovyo hovyo, lah hasha, bali alimaanisha polisi wadhibiti kwa maana ya kuwapiga raia wenye kukaidi maagizo ya dola.

sasa hapa ndio umesema nini? kuna tofauti gani kati ya unachosema wewe na alichosema Pinda na kile ambacho watu wametafsiri? Halafu hiyo maana wewe umejuaje?
 
wewe ni adui wa wananchi na ni rafiki yake pinda tumeshakujua. anakulipa nini kumsemea kauli zake?
 
Sheria inasema mtu akivunja sheria apigwe?...imetaja hilo?.. (ieleweke, alimaanisha apigwe risasi au apigwe fimbo,ngumi au makofi?)..hadi hapo,wanaojua zaidi statement hii ni polisi..watapiga risasi, watapiga mabomu, watapiga virungu nk..kwa sababu vyote ni kupiga! Acha uzembe wa kufikiri tunaakiri za kutosha kuliko uzezeta uloleta hapa
 
Wana-JF!

Ingawa kumekuwa na upotoshaji wa aina yake humu jamvini na kwengineko, kuhusu kauli ya mhe. Pinda, ila ukweli utabaki palepale kuwa mhe. Pinda ametoa kauli sahihi kwa wakati sahihi.

Kauli ya mhe. Pinda imepewa tafsiri ya uongo, kuwa imevunja katiba, hali iliyo pelekea wengi wenu kustaajabu kuwa ina kuwaje mwanasheria mkongwe kama mhe. Pinda kufanya hivyo, ila ukweli wa kauli yake mhe. Pinda ni huu hapa;

Mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu, hakuwa ana maanisha kuwa polisi wapige tu raia hovyo hovyo, lah hasha, bali alimaanisha polisi wadhibiti kwa maana ya kuwapiga raia wenye kukaidi maagizo ya dola.

Wote humu jamvini tunajua ni wajibu wa polisi kulinda raia na mali zao, lakini kwa vurugu za hivi karibuni, usalama wa raia umekuwa hatarini, kutokana na fujo za vyama vya siasa, kwa hali kama hiyo, serikali ni lazima ingetoa kauli, kauli yenyewe ndio hiyo ya mhe. Pinda.

Kauli ya mhe. Pinda imekuwa faraja kwa wapenda amani na utulivu wa hapa nchini, lakini imekuwa ni mwiba kwa wapenda fujo na maandamano yasiyo na tija yoyote kwa taifa.

Mhe. Pinda asante, TAIFA LIPO SALAMA SASA.

mkuu haym D naona usiku ulikula kwenye banda la kuku kisha umeamkia humu saa 10 kwa kutoroka kuja kutema pumba!!!! Kapitie katiba na vitabu vya mwl vizur na sio hizi pumba zako
 
Back
Top Bottom