Wanajamvi wote,
Tulijua kigugumizi cha serikali juu ya kurudisha mafunzo ya JKT kwa wahitimu wa elimu ya sekondari. Sasa yamerudishwa lakini cha kushangaza wamechagua baadhi shule ambazo wanafunzi wake ndo watajiunga! Sasa hawa baadhi waliochagulia watakuwa na advantage gani baada ya kuhitimu mafunzo tofauti na ambao hawajajiunga? isijekuwa wakapewa wao nafasi za kazi wengine wakaachwa! au upendeleo wowote tofauti na wengine! sababu wote walistahili kupata mafunzo ya JKT baada ya kuhitimu elimu ya sekondari. Labda tu ingekua wanajiunga na JKT kwa barua ya maombi kitu ambacho hakipo. Naona 'usomjo' wa kisiasa katika hili.