Daftari la Wapiga Kura Arusha Lachakachuliwa

Basil Lema

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
86
Reaction score
277
Waheshimiwa wanajamvi kwa sasa ninaweka habari hii hapa kama tetesi kwa malengo mawili:
1. Kuwafanya wahusika wajue kuwa hila zao zimeshajulikana.
2. Kufuatilia zaidi nyendo za wahusika na hatimaye tulete updates hapa hapa jukwaani.

Jana nilipata habari kutoka kwa chanzo muhimu cha ndani kabisa kwa,ba maofisa wa tume ya uchaguzi wameelekea jijini Arusha kwa lengo la kwenda kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura kwa kata nne zenye uchaguzi.

Maofisa hao ni pamoja na makarani wa kupiga picha na wajuzi wa IT. Imepangwa wafanye kazi hiyo hadi Jumanne tarehe 2/7/2013. Kama mpango wao huo ukifanikiwa Tume inaamini kwamba kwa kila kata kutakuwa na rekebisho la walau 38%. Hili rekebisho litakuwa kura za msingi za kuipa CCM ushindi kwa kata zote nne.

Nikiwa bado natafuta habari zaidi naomba nitoe kwa muhtasari maeneo yatakayorekebishwa.
1. Watu wote walioondoka Arusha ama kwa kufariki, kusafiri au kuhama mapengo yao yatazibwa na wapiga kura maalum watakaopewa shahada kwa ajili yao.
2. Wapiga kura wanaojulikana wazi kuwa wa CDM watafuatwa kwa malengo ya kuombwa wauze shahada zao, wengine zitaibiwa na wale wagumu kabisa watawekwa rumande siku za kuelekea uchaguzi mdogo.

Wakubwa serikalini na ndani ya CCM wanahitaji ushindi Arusha mjini kwa udi na uvumba hivyo kama wakigundua mbinu zao za ushindi zimegundulika ama kwamba zitagonga mwamba wataahirisha tena uchaguzi kwa kisingizio cha usalama.

Hadi sasa jeshi la polisi linapangwa kwa ajili ya kupelekwa Arusha kwa lengo la kusaidia utekelezaji wa mbinu hizi za kihuni za CCM kwa kisingizio cha kuimarisha usalama.

Stay tuned!!
 
Waandae risasi na mabomu ya kutosha kutuua tarehe 14.07.2013 maana hatutakubali wana Arusha....
 
Safari hii kitanuka mazima Tumechoka na mbinu chafu za magamba zinanazosababisha vifo na machafuko Arusha!!
 
Wakumbuke Chadema daftari la mwaka 2010 tunalo yaani nikiona sura ya kima ambayo haipo kwenye daftari langu risasi zitaanzia kwenye kituo changu kudadedi.....

aiseeeeee babayangu kwanza nagonga LIKE kubwa pili naunga mkono hoja
 
Tetesi kwa wakati mwafaka; ifanyiwe kazi haraka.
Hapo chacha! Tatizo la Ma-CCM yanaakili za Mbuni, yanaficha kichwa wakati mwili woote wameuacha nje!
 
Mbona itakula kwao! Yaani wana Arusha tulivyojipanga na uchaguzi huu mbona kitanuka mchana kweupe. Wajaribu waone.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mmmmmh! Hakika hakuna siri chini ya jua hili jamani.

Update.......

Kwa muda huu nipo huku kijijini Wilaya ya Arusha vijijini kwa aliye naibu wa waziri wa ardhi nyumba maendeleo ya makazi Ndg Ole Medeye ambaye pia ni Mbunge wa wilaya hii.
Mambo yanayoendelea hapa ni makubwa sana na ni ya kuihujumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Wanachofanya ni kwamba kuna mkutano wa wazee wa mila maarufu kwa kuitwa Ilaigwana na sasa wanacholenga sana ni kuandaa mkutano mkubwa wa mila ya kukutana mwanzoni mwa mwezi huu wa saba na iiombe serikali isitishe mikutano yote ya mambo ya vyama hasa ya CDM na wanasema haiwezekani chama hiki kigeni kuja kutawala hapa A town na hata isababishe vifo.
Na hata hivyo majuzi tu wamekutana hapo ukumbi wa Korea uliopo Ngaramtoni ya juu post kabisa TPRI na mambo makubwa wanayolenga ni kuitaka serikali kuiondoa CDM ndani ya mambo ya vyama vya siasa.
Ninachojiuliza ni nini sana kinawakera wazee hawa?

Wanaendelea na mkutano wao ila hakika nitaleta feedback yote.
 
Waheshimiwa wanajamvi kwa sasa ninaweka habari hii hapa kama tetesi kwa malengo mawili:
1. Kuwafanya wahusika wajue kuwa hila zao zimeshajulikana.
2. Kufuatilia zaidi nyendo za wahusika na hatimaye tulete updates hapa hapa jukwaani.

Jana nilipata habari kutoka kwa chanzo muhimu cha ndani kabisa kwa,ba maofisa wa tume ya uchaguzi wameelekea jijini Arusha kwa lengo la kwenda kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura kwa kata nne zenye uchaguzi.

Maofisa hao ni pamoja na makarani wa kupiga picha na wajuzi wa IT. Imepangwa wafanye kazi hiyo hadi Jumanne tarehe 2/7/2013. Kama mpango wao huo ukifanikiwa Tume inaamini kwamba kwa kila kata kutakuwa na rekebisho la walau 38%. Hili rekebisho litakuwa kura za msingi za kuipa CCM ushindi kwa kata zote nne.

Nikiwa bado natafuta habari zaidi naomba nitoe kwa muhtasari maeneo yatakayorekebishwa.
1. Watu wote walioondoka Arusha ama kwa kufariki, kusafiri au kuhama mapengo yao yatazibwa na wapiga kura maalum watakaopewa shahada kwa ajili yao.
2. Wapiga kura wanaojulikana wazi kuwa wa CDM watafuatwa kwa malengo ya kuombwa wauze shahada zao, wengine zitaibiwa na wale wagumu kabisa watawekwa rumande siku za kuelekea uchaguzi mdogo.

Wakubwa serikalini na ndani ya CCM wanahitaji ushindi Arusha mjini kwa udi na uvumba hivyo kama wakigundua mbinu zao za ushindi zimegundulika ama kwamba zitagonga mwamba wataahirisha tena uchaguzi kwa kisingizio cha usalama.

Hadi sasa jeshi la polisi linapangwa kwa ajili ya kupelekwa Arusha kwa lengo la kusaidia utekelezaji wa mbinu hizi za kihuni za CCM kwa kisingizio cha kuimarisha usalama.

Stay tuned!!
ni kweli kabisa kualisha uchaguzi huku kipo kitu ccm inataka kukifanya kwa kuitumia tume. ila mimi nilivyosikia mkakati mmojawapo wa ccm unataka kutumia ni siku ya uchaguzi kuleta watu wao mapema sana kupiga kura halafu ikifika saa tano polisi waanzishe fujo wapate kisingizio cha kufunga vituo mapema kwa ajili ya usalama
 
Watafanya kila hila,mwisho wa siku wataangukia pua!Kamwe giza haiwezi shindana na nuru.
 
Mmmmmh! Hakika hakuna siri chini ya jua hili jamani.

Update.......

Kwa muda huu nipo huku kijijini Wilaya ya Arusha vijijini kwa aliye naibu wa waziri wa ardhi nyumba maendeleo ya makazi Ndg Ole Medeye ambaye pia ni Mbunge wa wilaya hii.
Mambo yanayoendelea hapa ni makubwa sana na ni ya kuihujumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Wanachofanya ni kwamba kuna mkutano wa wazee wa mila maarufu kwa kuitwa Ilaigwana na sasa wanacholenga sana ni kuandaa mkutano mkubwa wa mila ya kukutana mwanzoni mwa mwezi huu wa saba na iiombe serikali isitishe mikutano yote ya mambo ya vyama hasa ya CDM na wanasema haiwezekani chama hiki kigeni kuja kutawala hapa A town na hata isababishe vifo.
Na hata hivyo majuzi tu wamekutana hapo ukumbi wa Korea uliopo Ngaramtoni ya juu post kabisa TPRI na mambo makubwa wanayolenga ni kuitaka serikali kuiondoa CDM ndani ya mambo ya vyama vya siasa.
Ninachojiuliza ni nini sana kinawakera wazee hawa?

Wanaendelea na mkutano wao ila hakika nitaleta feedback yote.
Kwani hao wazee wa kimila wa CCM ndio wapiga kura????
 
Waheshimiwa wanajamvi kwa sasa ninaweka habari hii hapa kama tetesi kwa malengo mawili:
1. Kuwafanya wahusika wajue kuwa hila zao zimeshajulikana.
2. Kufuatilia zaidi nyendo za wahusika na hatimaye tulete updates hapa hapa jukwaani.

Jana nilipata habari kutoka kwa chanzo muhimu cha ndani kabisa kwa,ba maofisa wa tume ya uchaguzi wameelekea jijini Arusha kwa lengo la kwenda kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura kwa kata nne zenye uchaguzi.

Maofisa hao ni pamoja na makarani wa kupiga picha na wajuzi wa IT. Imepangwa wafanye kazi hiyo hadi Jumanne tarehe 2/7/2013. Kama mpango wao huo ukifanikiwa Tume inaamini kwamba kwa kila kata kutakuwa na rekebisho la walau 38%. Hili rekebisho litakuwa kura za msingi za kuipa CCM ushindi kwa kata zote nne.

Nikiwa bado natafuta habari zaidi naomba nitoe kwa muhtasari maeneo yatakayorekebishwa.
1. Watu wote walioondoka Arusha ama kwa kufariki, kusafiri au kuhama mapengo yao yatazibwa na wapiga kura maalum watakaopewa shahada kwa ajili yao.
2. Wapiga kura wanaojulikana wazi kuwa wa CDM watafuatwa kwa malengo ya kuombwa wauze shahada zao, wengine zitaibiwa na wale wagumu kabisa watawekwa rumande siku za kuelekea uchaguzi mdogo.

Wakubwa serikalini na ndani ya CCM wanahitaji ushindi Arusha mjini kwa udi na uvumba hivyo kama wakigundua mbinu zao za ushindi zimegundulika ama kwamba zitagonga mwamba wataahirisha tena uchaguzi kwa kisingizio cha usalama.

Hadi sasa jeshi la polisi linapangwa kwa ajili ya kupelekwa Arusha kwa lengo la kusaidia utekelezaji wa mbinu hizi za kihuni za CCM kwa kisingizio cha kuimarisha usalama.

Stay tuned!!

vijana wa lumumba project wakiongozwa na hammy d,simiyu and the like wameitana lumumba kuona wacounter vipi hili bandiko
 
Mungu aonae sirini hata acha kujbu maombi na sala za watu wake hasa wapenda haki ktk nchi ccm ifahamu wazi wao wanafanya mipango na vikao vyao ktk usiri mkubwa lakini Mungu alivyo mwaminifu siri zao znavuja na watu wote wanapata kujua hila za macc labda niwakumbushe ccm na serekali yao kwamba hichi kimbunga cha mageuz kinachovuma sio arusha pekee ni nchi nzma sasa basi kama wanaitakia mema nchi hi waache michezo yao michafu na haki itendeke tena wafahamu wao watapta lakin tanzania itaendelea kuwepo athari zozote watakazo sababisha zitawagharimu wao na vzaz vyao vyote tena wakumbuke itafka mahal uvumilivu utafka mwisho na watu wataamua kuwasha moto na wa kuuzma hatakwepo hapo ndipo hatutaman kufka,Kikwete hayo uliyo fanya yanatosha usilazmishe mambo kwan itakugharimu sana pamja na uzao wako tanzania sio yakwako na uko wako.
 
Back
Top Bottom