Binafsi sijaona kipya zaidi juu ya ujio wa Rais wa taifa kubwa lenye nguvu za kiuchumi kama marekani, labda walio na upeo mkubwa wanaweza kunijulisha kwamba Obama hasa alikuja kufanya nini katika...
Naam
Ndugu yetu Obama tayari amekwishaondoka,huku watanzania tulio wengi tukiwa bado na shauku ya kujua nini hasa kilichojiri na manufaa yake kwa watanzania tulio wengi.......
miez kadhaa...
...Baada ya mazungumzo ya Ikulu, Rais Obama atakwenda katika Hoteli aliyoandaliwa ya Hyatt Regency (zamani, Hoteli ya Kilimanajaro au Kempinski), ambako atakuwa na mazungumzo na wafanyabiashara...
Kutingisha viuno kwa mwafrika ni jadi. Mwafrika anabainishwa na msukumo wa kutojizuia kutingisha viungo pale anaposikia ngoma au muziki unapigwa hata kama yuko katika mazingira yasiyo mwafaka...
Ndugu wana jamii forum naomba kuwasilisha hoja. Siku chache zilizopita mh. Julius mtatiro katika ukurasa wake wa facebook alinadi kuwa Rais wa south Africa Jacob Zuma...
Habari wakuu,
Ni wapi naweza kupata twakimu za majimbo, kata na vitongoji vyote vya Tanzania na vyama vinavyotawala maeneo yao. nimejaribu kufungua website ya NEC http://www.nec.go.tz/ but...
Historia ya hii duni ni ushahidi tosha kuwa mwafriki yuko duniani kutumika na kutawalia na mtu mweupe!
Hivi tujiulize uhuru tulioupigania umeleta tofauti iliyokusudiwa?
Tafakari mambo haya alafu...
CHADEMA wanafahamika kwa mipango madhubuti na makini. Viongozi wa JUU KABISA ndani ya chama wana sifa ya usiri na umoja. Mara nyingi pale wanapotoka hadharani kuiweka mipango yao huonekana kama...
DAR ES SALAAM, Tanzania - Vendors carrying trinkets and snacks usually weave in and out of the dense traffic of this bustling East African capital, their hawking adding to the cacophony of horns...
Kwenye kampeni za uchaguzi wa udiwani huko Arusha,Hii ndio kauli iliyowadhoofisha sana CHADEMA hasa wanachama wao.
Ni kauli aliyoisema Mh.Mwigulu Nchemba akihushanisha Helkopta na Umasiki wa...
Ni jambo la kujivunia Tanzania kwa marais hawa wa marekani kuja kwetu kwani macho yote ya dunia yatakuwa kwetu hii ni fursa kwetu.Tarehe 2-3/july ni siku ya kihistoria.
Je ni kweli hawa watu...
Inasikitisha sana kuona jinsi watanzania tunavyokosa mbinu za kujiuza kimataifa na kukwea juu zaidi na kujikuza kiuchumi, kwa kuzungumzia mema na kuisifu nchi yetu, badala yake watu humu ndani...
Tanzania the unlikely host to both Barack Obama and George W Bush
Tanzania became the unlikely host for both President Barack Obama and his predecessor, George W Bush today when the US...
Mkurugenzi wa benki ya Vatican Paolo Ciprian na makamu wake massimo tulli wamejiuzulu kwa tuhuma ya rushwa na udanganyifu. Kwani viongozi wa Tanzania wasiige mfano kutoka kwa wenzao.
Wakuu naguswa sana na namna Rais Obama anavyoonekana kuijali familia yake. Kila wakati anaposafiri lazima aongozane na mke wake pamoja na mabinti zake. Binafsi ningependa sana kuona rais wangu Mh...
Ndugu Waheshimiwa, itakumbukwa kwamba katika mwaka wa fedha 2013/14, Bunge lilipitisha sera mbalimbali za kodi ambazo zimetekelezwa na Serikali.
Azma ya sera hizo ni kuimarisha
ukusanyaji wa...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Bunge la Oman ulioongozwa Bwana Khalid Bin Hilal Ali Maawal Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.