Lengo la ziara ya Obama ni hili hapa

Lengo la ziara ya Obama ni hili hapa

Millionea

Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
58
Reaction score
18
US President Barack Obama has called on African governments to give gay people equal rights by decriminalising homosexual acts.

Mr Obama made the comments in Senegal after meeting President Macky Sall on the first leg of his African tour.
Mr Sall said Senegal was a "very tolerant" country but it was "not ready to decriminalise homosexuality".

Homosexual acts are still a crime in 38 African countries, where most people hold conservative religious views.
In 2011, the US and UK hinted that they could withdraw aid from countries which did not respect gay rights.
Mr Obama said at a news conference that the issue did not come up in his discussions with Mr Sal.

Huo ndio ukweli kampeni ya kutaka tukubali mashoga wawe na haki sawa ndio lengo la marekani. Ratiba nyengine ni kuweka mbwembwe tusijuwe kunanini.

Source: BBC News - Obama urges gay rights in Africa during trip to Senegal
 
Kwa hiyo anataka na sisi tukubali kufungisha ndoa za mashoga?:angry:

Ndio lengo lao hilo maana washatupa pesa tushatumia na sasa wanataka tuwatimizie malengo yao. hawa watu ni washenzi sana..huu ndio New colonialism unarudi kwa kuwaabudia hawa watu.

nimeipenda hiyo "quotation yako" hapo chini hahahaha nimecheka sina mbavu
 
Kikwete akikubali upuuzi huo wa ushoga wa Obama atailetea balaa kubwa nchi yetu. Ningethamani asikubali.
 
Kwani CUF si Waliberali?Nadhani hii dhiara ya Waliberali wenzao inawahusu sana.Nadhani Lipumba na Maalim pia watahudhuria.
 
US President Barack Obama has called on African governments to give gay people equal rights by decriminalising homosexual acts.

Mr Obama made the comments in Senegal after meeting President Macky Sall on the first leg of his African tour.
Mr Sall said Senegal was a "very tolerant" country but it was "not ready to decriminalise homosexuality".

Homosexual acts are still a crime in 38 African countries, where most people hold conservative religious views.
In 2011, the US and UK hinted that they could withdraw aid from countries which did not respect gay rights.
Mr Obama said at a news conference that the issue did not come up in his discussions with Mr Sal.

Huo ndio ukweli kampeni ya kutaka tukubali mashoga wawe na haki sawa ndio lengo la marekani. Ratiba nyengine ni kuweka mbwembwe tusijuwe kunanini.

Hiyo yote ni tisa. Kumi hii hapa!

Africa yaliwa.jpg

So the guy is simply coming to chop off his share!
 
Hiyo ndio good governance aliyokuja kupromote Afrika?Mr Obama,if you don't have anything else to tell us,go back to washington d.c!we don't want homosexuality,if you don't have good girls to marry in America,we have them in Africa!if you don't have decent society to protect in America,we have!if you don't have beautiful culture to cherish,we have,and if you don't have great,glorius,mighty and HOLY GOD to respect in America,WE HAVE IN AFRICA!Stop telling us cursed stuffs,we are still HOLY and SPIRITUAL VIRGINS,not SATANIC slaves!NO ELLITES AGENDAS,NO FREEMASON,NO COUNCIL OF 13,NO ILLUMINATI!NO PINDAR TO LEAD US,ONLY GOD ALMIGHTY OUR CREATOR!
 
f.b.i nane wana angalia na kufuatilia thread hii
 
Lengo la nchi za magharibi kueneza ushoga ni kutaka kutawala ujuwe mtu akisha kuwa shoga ni mtu ambaye hana marifa tena ni mtu aliye kataa tamaa na maisha ni mtu anaye weza kuleta maafa mda wowote yni ni mtu mshenzi so ndio maana inabidi tuupinge ushoga kwa nguvu zote na kwa garama yoyote ata ikiwezekana kuwapiga risasi hazarani yni kuwatokomeza kabisa ni maafa kw Taifa na ulimwengu. yn hawajamaa wanajuwa faida watakayo ipata kupitia mashoga miaka michache ijayo yani akili ya shoga ni akili ya mwisho kabisa yni mwanamke ni mjanja mara 100ya shoga ni bora kuwa na kiongozi mwanamke kuliko shoga yni hawajamaa wana malengo na huu mpango ,tusipo kuwa makini na hawa Afrika baada ya miaka 50ijayo itakuwa haina tena wanaume na kutakuwa hakuna kizazi kingine so ndio njia ambayo wanaweza kutawala nayo ama kulichukuwa bara la afrika.tujiulize kwanini tuna tetea ushoga je ndio tunataka tusiongezeke tena au ndio tunataka tusizaliane tena au !!?
 
  • Thanks
Reactions: HLS
f.b.i nane wana angalia na kufuatilia thread hii

tunajua.ndio maana nimetumia english hapo juu ili ujumbe uwafikie.WE KNOW YOU FBI GUYS ARE READING THIS,SO,BRING OUR MESSAGE TO YOUR PRESIDENT,THAT AFRICANS SAY NO TO HOMOSEXUALITY,IF ONLY THIS IS HIS AGENDA.IF IT'S NOT,THEN WE ARE READY TO LISTEN!
 
Watanzania bado wamelala wanashangilia barabara kusafishwa bila kujua nia ya ujio wake. Hatumtaki arudi kwao
 
_68418319_gay_africa464x495.gif
hali mbaya sana ndugu zanguni. bbc wametoa ramani ikionesha nchi za afrika zinazokubali ndoa za jinsia moja, na nchi zisizo kubali ndiyo hizo. idadi inakaribia kuwa sawa! inasikitisha sana! nchi za kiarabu kaskazini mwa afrika ndoa hizo haziruhusiwi na hukumu ni kifo au kifungo cha maisha. sielewi kwa nini zimewekewa kijivu hafifu (light grey) na siyo nyekundu! sidhani ushoga ndiyo jambo kuu lililomleta Obama. ameletwa kwa sababu za kiuchumi na kisiasa. naamini hata hilo la ushoga ataligusia kama alivyofanya Senegal. katika rasimu ya katiba, tumecopy na kupaste haki za binadamu zote. itabidi iainishwe vizuri kuwa ndoa za jinsia moja ni kifungo cha maisha. la sivyo tutakuja sumbuliwa kwa kisingizio kuwa ni haki ya mtu kuolewa au kuoa yeyote amtakae. jambo la pili, haki za binadamu zinataja haki ya mtu kuishi. lkn zinakosea kuhusu mtu anae mnyima mwenzake haki ya kuishi (anaeua) afanyweje? kwa maoni yangu, kama kaua makusudi, na yeye auawe. TUWE MAKINI NA NENO HAKAI ZA BINADAMU. wazungu wanachezea akili zetu
 
Heheheeee no risk no reward,jk tunasubiri yako!na hapa hakika tutamkumbuka mwalimu jk daima hakika angekuwepo angemchana live uyu mjamaa hii ni aibu kwa tamaduni ya kigeni!!!laana tupuuu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
tunajua.ndio maana nimetumia english hapo juu ili ujumbe uwafikie.WE KNOW YOU FBI GUYS ARE READING THIS,SO,BRING OUR MESSAGE TO YOUR PRESIDENT,THAT AFRICANS SAY NO TO HOMOSEXUALITY,IF ONLY THIS IS HIS AGENDA.IF IT'S NOT,THEN WE ARE READY TO LISTEN!

wanafki wakubwa nyinyi wakati ndio mnapenda kula viboga na mnashabikia
 
Back
Top Bottom