Mh. Magufuli nini tatizo?

Mh. Magufuli nini tatizo?

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,230
Reaction score
35,921
Ujenzi wa barabara ya Old Bagamoyo road ulipaswa kukamilika tar 31 May 2013.

Hadi leo barabara inasusua na hakuna dalili za kukamilika hivi karibuni na hata kasi ya ujenzi ni ndogo tofauti na walipoanza ujenzi.
Tatizo ni fedha au Contractor? Ujenzi wa namna hii kwa kuungaunga si tutakabidhiwa barabara inayohitaji kuanza kuwekewa viraka?

Mbunge wa Kawe umeridhika na kasi hii huku tukiwa tayari nje ya muda?

Mwenye taarifa atujuze!
 
Obama hajotoa chenchi bado, subirini
 
Mleta maada ngoja nikukumbushe...siku ya ufunguzi wa barabara hii Magufuri alimwambia JK waziwazi akiujua ulegevu uliopo kua... tukilegea hii barabara haitajengwa! na JK akajikakamua akadakia ...hamna atakayelegea apa!!! kwa hiyo tusoshangae
 
Back
Top Bottom