CHADEMA kuharibu jiji la utalii (Arusha)

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.
 
Mapambano na polisi bila shaka itakimbiza watalii hilo halina ubishi and watu wakawaida ndo wataoathirika kwa kukosa ajira na kwa kuwauzia bidhaa watasha
 
tusipokuwa makini kwa jinsi chadema wanavyoendesha siasa jijini arusha huenda watalii wakapungua sn na kshusha mapato ya utalii, suala la maandamano na vurugu kwa sasa havina tija kwa wananchi wa arusha ambao wengi wanategemea biashara ya utalii.

......chadema ni
zaidi ya oksijeni arusha...pole kajipange upyaa.......
 
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.

Hii thread ni nzuri sana ila naomba mods Au mleta hoja ubadili heading na isomeke hivi. (SERIKALI kupitia CCM)Kuharibu soko la utalii Tanzania. Arusha sio Kenya na chadema hawaui Nawasilisha
 
Baadhi ya Waarusha akili zenu ni ndogo. Mnahisi mtashiba hivo viroba. Mleta mada kaongea fact lakini mnakuja na mibangi yenu.
 
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.

Acha U-pinda ar ipo chin ya CDM polisi na waume zao wana lazimisha.
 
Mapambano na polisi bila shaka itakimbiza watalii hilo halina ubishi and watu wakawaida ndo wataoathirika kwa kukosa ajira na kwa kuwauzia bidhaa watasha

Dodoma, Singida, Mbeya, Lindi, nk. wanaishi kwa utalii? acha kutishia watu wewe!
Huo utalii unakufaidisha wew na hao mashetani wauaji.
Kwa hiyo tunyamaze maccm waendelee kubaka nchi kwa kisingizio kwamba utalii unashuka na kuhatarisha amani? Usirudie tena kuleta taarifa za uoga kama hii.
 
Napenda kusimamia ukweli ktk siasa si unafiki. CHADEMA chama la ukweli. CUF ilpokuwa na nguvu kila mwanasisiemu alituzushia uovu wa kila aina. Hata udini tulihusishwa nao. Sasa ccm na polisi wanafanya vurugu wanafiki mnawatetea!.. Subiri waue ndugu zenu!
 
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.

Imeshafikisha miezi tisa? kama bado usiende LEBA itakuwa primachua.
 
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.
Wameandamana lini tena? Inaonekana bila kutaja Chadema kabla ya kulala hutapata usingizi..

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
dodoma, singida, mbeya, lindi, nk. Wanaishi kwa utalii? Acha kutishia watu wewe!
Huo utalii unakufaidisha wew na hao mashetani wauaji.
Kwa hiyo tunyamaze maccm waendelee kubaka nchi kwa kisingizio kwamba utalii unashuka na kuhatarisha amani? Usirudie tena kuleta taarifa za uoga kama hii.
mkuu mbn povu linakutoka
 
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.

Ngoja kwanza! Unarejea Tuko gani? Lile le kumalizia kampeni pale Soweto Ambao mkutano ulivunjika baada ya kurushiwa bomb ile 15 Juni? Au ile siku wamekutana kuaga wahanga wa lile bomu la Soweto?

Mbona unanifananania na Yule aliyesema ' tumechoka'?
 
Watalii wote wamekimbilia Kenye, wanaogopa fujo za Chadema.
 
Upeo wako unaonyesha ulifaulu f4 kwa marks za standardization kama za mwaka huu,ndo maana una upeo finyu kifikra
 
hayo mapato ya utalii yamesaidia vipi wananchi wa hali ya chini jijini Arusha?
Kwa hiyo kupiga mabomu au kuacha mabomu yapigwe kwa watu wasio na hatia ndio kuboresha sekta ya utalii arusha?
Arusha na chadema ni dam dam!
 
Back
Top Bottom