Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Kulikuwa na mgomo wa Madaktari uliokuwa ukiongozwa na Jumuiya ya Madaktari nchini chini ya Uenyekiti wa Dr.Stephen Ulimboka. Madaktari wetu walikuwa na maombi mbalimbali kwa Serikali juu ya kuboresha huduma za afya na maslahi ya Madaktari. Kwa ukimya uliopo sasa,Madaktari wetu wamepewa walichokiomba?