Ndugu wana jamii forum habari nlizonazo na za kuaminika ni kuwa baraza la katiba Halmashari ya Moshi linaanza kukutana rasmi tarehe 20 mpaka 22 mwezi huu wa July 2013 katika ukumbi wa Umoja...
Nimekuwa nikijaribu kutafakari mara kadha wa kadha juu ya misimamo ya wabunge walio wengi bungeni( ambao chama chao kunatawala), kwamba hivi ni kweli zile ndiooooo wanazozitoa kwenye kila jambo...
Picha (kumbukumbu, Septemba 2, 2012) iliyochukuliwa katika mkutano kwenye ofisi ya CHADEMA, Nyololo, Iringa siku ambapo Daudi Mwangosi alifariki dunia kwa kulipuliwa na bomu.
MAHAKAMA ya Wilaya...
nimefanya utafiti usio rasmi kwa siku nyingi kabla ya kuwa member wa JF na nimegundua yafutayo:
Wemgi wanaangalia maslahi ya Vyama vyao na sio tz yao (angalia mabishano ya CHADEMA VS CCM humu...
Tuko kwenye msafara kuelekea sokoni I kwenda kumpumzisha ndugu, mpendwa wetu Judy William,nitawaletea kitakachokuwa kinajili.
.
Picha za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I...
Hapa Barani Afrika hivi karibuni tumeshuhudia Wananchi wa nchi mbali wakifanya Mabadiliko ya Uongozi, wengine kwa njia ya Amani kama Zambia na wengine Mapinduzi ya nguvu ya Umma kama Misri...
Leo sita kua nime tenda mema kama sita waambia vijana wenzangu ukweli hasa wale ambao wana tumika na bahazi ya wana siasa kama mataili ya gari pale yanapo choka wana ya acha na mwisho maisha yana...
Na Maggid Mjengwa,
WAAFRIKA waijenge Afrika yao, kwa ajili ya Afrika! Anasema Barack Obama. Ni dhana njema, lakini, unafanyaje pale Waafrika wenyewe wanagombania fito katika kuijenga Afrika...
Wana JF,
Kwa namna ya Pekee naomba kutoa pongezi kwa Jamii Forums pamoja na timu yote iliyobuni Mtandao huu...
Mtandao huu ulikuwa unapigwa vita na Viongozi wengi sana wa CCM hadi JF inakuwa...
MPANGO WA KULETA MATOKEO MAKUBWA SASA KWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (Mbunge), anawaalika...
Tuache longo longo la akina MWONGO na wenzake
kama wako serious wakachukue sera ya madini ya PAPUA NEW GUINEA tubadili majina ya nchi ili iwe yetu. Perhaps itatusevia pesa.
Wito huu tulitoa...
SERIKALI imeweka wazi miradi ya umeme ya kipaumbele, itakayotoa matokeo ya haraka ifikapo 2015/2016, na kunufaisha wananchi katika mikoa 13 nchini.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter...
Kuna kipindi kulikuwa na thread humu iliyomtuhumu Dr Shayo kuwa ni Plagiarist aliyebobea na kuna watu waliquestion mpaka authenticity ya kuitwa "Dr"
Well...Juzi kamwaga article kule Michuzi Blog...
Kuna article kwenye ipp media inasema DOWANS inataka kuuzwa kwa kampuni nyingine ya marekani SYMBION.
Jamani tunachezeshwa mchezo huohuo kila siku mpaka lini.
Nimejaribu kufuatilia website ya...
Mahusiano na makubaliano yamikataba hii ya kimataifa yanategemea uwelewa na uwezo wapade mbili,Tanzania
hatujawaanda watu kwa uwezo unaostahili wenye uwezo wakutosha wa kushindana na wenzetu...
Ndugu zanguni,
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana matukio na vituko vinavyofanywa na makamanda wa chadema lakini imefikia wakati na mimi nitoe maoni yangu juu ya uongozi wa chadema chama...
Chama cha demokrasia na maendeleo ni chama makini kwa sasa na niwazi kuwa kitapata wabunge wengi uchaguzi ujayo na indiketa ni uchaguzi wa madiwani ambapo wamepata viti vichache vya ccm na ccm...
Ndugu wana jamvi,
Juzi nilikuwa wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma. Moja wapo wa mambo niliyofanya ilikuwa ni kuongea na Katibu wa TSD (teacher's service Department). Mazungumzo yetu yalilenga kujua...
Question from Peter Ambilikile:
My name is Peter Ambilikile from Jambo Leo Newspaper. My question is from both of you, starting with President Obama. President Obama, are you satisfied with...
Wanajamvi:
Chama hiki cha ccm kimeongoza tanzania kwa miaka hamsini sasa,na kadri siku miaka inavyosonga mbele ndiyo chama hiki kinavyo poteza mvuto situ kwa wazee na vijana kwa sasa hata watoto...