mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 621
- 434
Ndugu wana jamvi,
Juzi nilikuwa wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma. Moja wapo wa mambo niliyofanya ilikuwa ni kuongea na Katibu wa TSD (teacher's service Department). Mazungumzo yetu yalilenga kujua Hali ya elimu katika wilaya yake.
Kondoa 45% ni waislam na idadi kama hiyo wanaabudu dini za asili ama hawaendi popote. Ukristo ni kama 10% tu! Hali ya elimu ni duni sana hasa maeneo yanayoshikamana na dini za kiislam na za kienyeji. Maeneo yenye muamko wa wa elimu ni kwenye "missions" za kanisa katoliki eneo la MONDO na HAUBI. eneo jingine lenye msaada ni upande wa kaskazini kuelekea Babati japo sio kwa sana.
Kinachosumbua maeneo haya ambayo yana uislam mkubwa
1. Kuzaa bila mpango.
Hili linaonekana kwa macho watoto ni wengi na vijana hawana muelekeo wa maisha. Uvutaji wa sigara kwa vijana umekithiri sana. Warangi ndio waathirika wa tatizo hili. Nikiwa kwenye gari "KWA ZULU NATAL EXPRESS" narudi Arusha nilimsikia shehe mmoja akihubiri juu ya watu kuzaana na Mungu ndiye anayepanga riziki YA watoto. Umaskini uko kwa kiwango cha juu sana ukichukulia hali ya hewa sio nzuri sana kwa kilimo.
2. Kuendekeza udini.
Maeneo mengi viongozi wa dini hawataki kupelekewa waalimu wakrosto! sasa kwa sababu wilaya inakuwa na wdadi ya walimu kwa uwiano utakuta maeneo yenye muamko wa elimu (ambayo yameshikwa na kanisa katoliki) shule zao zina idadi ya kutosha ya walimu na maeneo ambayo yanaendekeza itikadi za kidini si ajabu kuwa na walimu wawili kwa shule nzima maana wilaya inakuwa haina walimu wa kutosha.
3.Ukabila
tatizo hili liko upande wa kuelekea Singida kwa kabila la wasandawe. Hawa hawataki chochote zaidi ya kupelekewa mwalimu wa kabila lao. Na wako tayari kumpiga mwalimu mshale kama hawamtaki.Usalama wa walimu maeneo haya haupo kabisa. Ushirikina ni wa kiwango cha kutisha. Mwalimu analala nyumbani lakini akiamka asubuhi anajikuta kalala shuleni!
4.Ndoa za utotoni
hizi ni kawaida sana. watoto wakike wanatishiwa kama wataonyesha juhudi za kufaulu maana wanatakiwa wakaolewe baada ya kumaliza elimu ya msingi. Kwa kondoa kuwapelekea elimu ni kuwasumbua! hawana mahusiano mazuri na walimu kwa sababu muamko wa elimu uko chini sana.
NINI KIFANYIKE?
Viongozi wa dini ya kiislam lazima waamke sasa na hasa kwa madhehebu ya sunni na shia. Kama kuna watu wa madhehebu ya ahamadiya humu ndani ingekuwa ni vema wakapeleka elimu ya dini yao upande wa kondoa maana najua kwamba ahamadiya wao wanajali sana elimu na kuujenga uislam juu ya technologia na elimu dunia. Uislam lazima wakubali ukweli kwamba sera za wao kuwa wengi huku wakiwa hawana elimu ya kutosha ni kuendeleza kizazi cha watakaokuja kujilipua baadae. Ujinga una hasara na haukuzi maslahi ya uislam. Lakini pia serikali haiwezi kuwapelekea waalim wa kiislam tu na wakati huohuo wakristo hawana shida ya kufundishwa na mwalimu yeyote inamaana kila wakati pengo la elimu kati ya wakristo na waislam litakuwa kubwa sana na hapo ndipo uhasama utakapoota mizizi.
Naomba kuwasilisha.