Amani iwe kwenu,
Wana jf leo nikiwa kanisa katoliki lilipo huku njiro katika misa ya kwanza tumetangaziwa kwamba wasomi wa kanisa katoliki wameipitia na kuichambua kwa umakini rasimu ya kwanza ya...
Wana JF,
Mimi si mtaalamu sana wa mambo ya protokali lakini jambo hili limeniumiza kichwa sana.
Obama aliposhuka, nilitazamia mtu wa kwanza kabisa kusalimiana naye awe mwenyeji wake Rais wa JMT...
Nimekuwa na dhamira ya kugombea ubunge tangu nikiwa kidato cha tano,NI takribani miaka Saba(7), Nilibweteka na kufikiri kuwa ninaweza jiandaa na maisha,LA HA SHA,maisha NI haya...
Na kwa hili serikali mtueleze,kama ndio maisha bora haya au maisha magumu kwa kila Mtanzania,hii sasa imepitiliza haiwezekan kupandisha umeme tena kwa kiwango hiki,hata kama nikuilipa dowans this...
June 25, 2013
His Excellency Barack Obama
President of the United States of America
White House
Via facsimile: +1 202-456-2461
Dear President Obama:
Ahead of your first trip to East...
Mwenyekiti wa CCM Wilaya mpya ya Gairo Bwana Omary Awadhi, amemwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Gairo. Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo tukio hilo lilitokea usiku wa manane baada...
ZIPO kila dalili zinazoonyesha Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), sasa inaanza kwenda mrama, baada ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharrif Hamad, kulalamikia kususiwa serikalini...
Maandiko Matakatifu yanasema kwamba HAKI HUINUA TAIFA,BALI DHAMBI NI AIBU!!
Nimeamua kutumia maneno haya kutoka ktk Biblia kama kielelezo cha jinsi ambavyo Serikali yetu imeshindwa ktk mambo ya...
Itakumbukwa tulitembelewa na ugeni mzito wa rais wa dunia(Marekani) Obama. Watanzania wanaokaa vijijini walipata tabu sana kupata angalau kumwona kwa njia ya luninga lakini walishindwa, na hata...
Jamani tusaidiane, ni mara nyingi sana CDM wakitaka kuundwa kwa tume ya Kimahakama inapotokea mauaji ya raia.
Binafsi sielewi tume hii tofauti yake na tume zingine, Je rais hawezi kuingilia...
Dogo Mnyika uso kwa uso na Balille+Rostam Aziz
Katika hali inayoashiria kwamba sasa mambo yaliyonyuma ya pazia yanaanza kujitokeza hadharani. Dogo Mnyika ameanza kugongana vichwa na...
Waziri mkuu mstaafu amewataka vijana kutokubali kuwa maadui kwa sababu ya itikadi ya vyama. Aliwaambia vijana kuwa kuna watu ambao sasa wanatumia tofauti ya itikadi tofauti ya vyama kama uadui na...
Hivi huu unaoitwa "utaifa" kwanini hatusemi na CCM wauoneshe? CHADEMA imekuwa ikipigania Bungeni na nje ya Bunge kwa Rais Kikwete kuunda Tume ya Kimahakama (Judicial Inquiry Commission) ili...
huyu mzee shivji ameichambua rasimu ya katiba leo kuhusu muundo wa serikali tatu na mengine mengi...huyu mzee angekuwa kwenye tume ya katiba angetoa ushauri mzuri na kwa upande mwingine uwenda...
wana JF
Jana nilikuwa mkoani Tabora nilikoenda kumsalimia kamanda Kileo na watuhumiwa wenzake wanaoshtakiwa kwa makosa ya ugaidi ya kummwagia tindikali Musa Tesha kipindi cha uchaguzi mdogo wa...
KANISA KUELEKEA RASIMU YA
KATIBA MPYA
2013
KANISA KUELEKEA RASIMU YA
KATIBA MPYA
2013
Imetolewa na Jopo la Biblia ni JIbu
BIBLIA NI JIBU
P.O.Box 25535
DAR ES SALAAM...
Ndugu zangu wana JF na wabunge ; Wakati wa bajeti bunge lilipitisha shilingi 50/= IONGEZWE KATIKA GHARAMA ZA SIMU ILI HIZO FEDHA ZISAIDIE RURAL ENERGY (REA) ;
KUTOKANA NA OBAMA KUSIKILIZA KILIO...
MADAI ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Gairo, Omar Awadhi kwamba amemwagiwa tindikali, yameibua utata baada ya kubainika kuwa hakukuwa na tukio la aina hiyo.
Taarifa za...