Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kweli huyu ni mwizi, pengine kaiba kuku,ama kaanua nguo zako kambani ama pengine alikwapua simu yako ukiwa barabarani ama katika daladala.Alikuwa akijaribu kuganga njaa, maisha magumu lakini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania is blessed with an abundance of mineral resources. In gold alone, Tanzania is estimated to be sitting on top of a US$39 billion treasure. When you factor in the large quantities of...
9 Reactions
57 Replies
15K Views
WAKATI ushindi wa kishindo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Arusha ukimweka pabaya Meya wa Jiji la Arusha, mazito mengine yameibuka baada ya Mkurugenzi wa Jiji la Arusha...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni ushindi kwa ajili ya marehemu Judith William, mtoto Juma Ramadhan, mtoto Fahad Jamal na mtoto Amiry Ally, waliouwawa kikatili kwa bomu, wakati wakitimiza haki na wajibu wao katika jamii...
26 Reactions
89 Replies
8K Views
Tume ya taifa ya uchaguzi NEC inatarajiwa kuitisha uchanguzi katika kata ya Sombetini hivi karibuni, gazeti la mwananchi la leo linaripoti Mkurugenzi wa NEC, Julius Malaba alimwambia mwandishi...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Leo tarehe 15.07.2013 kuna mkutano kati ya IGP Said Mwema na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. Naomba mnisaidie kumuuliza maswali yangu mawili kama ifuatavyo: 1. Kikundi cha vijana wa CCM...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Baada ya mabomu kutokea na kuhairisha uchaguzi wa kata 4 pale Arusha, chama cha wananchi (cuf) kupitia mwenyekiti wake profesa lipumba kilisema mabom yalitupwa kwa ajili ya kuikosesha cuf ushndi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
My fellow Malawians I can confirm that our government invited former presidents of Mozambique and South Africa, His Excellences Mr Joaquim Chissano and Mr Thabo Mbeki over the issue of Lake...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
NATIONAL EAC nation's Flags By Zephania Ubwani, The Citizen Bureau Chief Posted Monday, July 15 2013 at 12:24 IN SUMMARY Responding to queries raised by tour operators from Kenya on what...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge Nyambari Nyagwine (Tarime-CCM) ameweza kubomoa ngome ya Chadema baada ya wanachama wake 50 wakiwemo viongozi watatu kurejesha kadi na kurudi CCM. Viongozi hao watatu wa Chadema waliojiunga...
1 Reactions
85 Replies
8K Views
Niimemsiki mheshimiwa James Mbatia akiikemea chadema kwa azma yake ya kutoa mafunzo ya ukakamavu vijana wake ili kulinda chama, Mh.Mbatia hakutaka kujishughulisha kuikemea ccm kwa kutoa mafunzo ya...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
MBUNGE wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere ameshtushwa sana na habari zinazozidi kujadiliwa katika njia mbalimbali za upashanaji habari, chanzo chake kikiwa ni gazeti moja la kila wiki, kuwa anayo...
7 Reactions
107 Replies
13K Views
Akiwa katika kipindi cha mahojiano kinachorushwa na chaneli ten kikiongozwa na Jenerali Ulimwengu leo hii ,Mwandishi na Mhariri bwana Absalom kibanda ambaye alitekwa na watu wasiofahamika siku 100...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Elimu ni ufunguo wa maisha. Taifa lenye wananchi mbumbumbu ni taifa mfu. Taifa lenye wananchi wenye elimu nusu nusu ni sawa na bomu linalosubiri kulipuka. Taifa lenye vijana wanaopata elimu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunasoma kwa mshangao mkubwa juu ya sakata lilotokea hivi karibuni, sakata la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Ndg Freeman Mbowe , kutembelewa na askari polisi wenye silaha usiku wa...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Salaam, Angalia tathmini fupi ya uchaguzi wa kata 26 (kwa niaba ya Mtu wa Shamba) Kata zilizokuwa wazi 26 Unyakuzi CCM wamenyakua kata 16 CDM wamenyakua kata 10 CUF wamenyakua kata 0 TLP...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Kabla ya Mwezi Julai nilikuwa nikinunua umeme wa TZS15,000/- ninapata units 84, Mwezi huu TZS25,000/- nimepata unis 83.6, Umeme umepanda Kimya kimya??? ONGEZEKO HILO NI KUBWA SANA almost asilimia...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Taarifa za kweli zilizothibitishwa na Kamanda Lema zinaeleza kwamba kuna uhalifu unafanyika muda huu Kata ya Elerai ambapo CCM wanagawa kombati za Chadema kwa vijana waliowaandaa ili zitumike...
0 Reactions
94 Replies
8K Views
Baada ya polisi na mkuu wa mkoa na wilaya kuzuia na tume ya uchaguzi kufuatilia wapiga kura vituoni na uchaguzi kwenda salama sasa ni wazi wao ndo wamekuwa waanzilishi wa fujo na hatimaye kuvuruga...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Ndugu zangu, Baada la tamko la chadema la kuanzisha mafunzo kwa kikosi chao kiitwacho Red Brigade kumetokea hofu kubwa kwa watanzania. Na wasioitakia mema nchi yetu wametaka kujificha kwa...
6 Reactions
446 Replies
41K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…