Cuf vipi? Si walisema......

Cuf vipi? Si walisema......

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,174
Reaction score
1,460
Baada ya mabomu kutokea na kuhairisha uchaguzi wa kata 4 pale Arusha, chama cha wananchi (cuf) kupitia mwenyekiti wake profesa lipumba kilisema mabom yalitupwa kwa ajili ya kuikosesha cuf ushndi katika kata hizo ambazo walikua eti na uhakika wa ushndi. Vipi sasa kuhusu kuburuzwa kwnye matokeo ya jana mmehujumiwa tena?
 
Kwanza nimesikia Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba ametofautiana kimtazamo & kimsimamo na Katibu wake maalim Sefu kwenye Rasimu ya Katiba kuhusu Muungano wa Mkataba. Lipumba kaupinga muungano wa hivyo akisema ni hatari, wakati Sefu anautaka huo huo. Kwakuwa Bw. Mtatiro umo humu hebu njoo utueleze msimamo wa chama kwenye hili ni upi.
 
Hawana jipya walikuwa wanawasaidia mabwana zao ili washinde lakini wamekula mweleka wote chini.unafiki hauwezi kuushinda ukweli
 
Baada ya mabomu kutokea na kuhairisha uchaguzi wa kata 4 pale Arusha, chama cha wananchi (cuf) kupitia mwenyekiti wake profesa lipumba kilisema mabom yalitupwa kwa ajili ya kuikosesha cuf ushndi katika kata hizo ambazo walikua eti na uhakika wa ushndi. Vipi sasa kuhusu kuburuzwa kwnye matokeo ya jana mmehujumiwa tena?
Prof karuhusu akili yake kubwa itawaliwe na akili ndogo. Anaongea sawa na mtoto wa darasa la sita.
 
kwanza nimesikia mwenyekiti wa cuf prof lipumba ametofautiana kimtazamo & kimsimamo na katibu wake maalim sefu kwenye rasimu ya katiba kuhusu muungano wa mkataba. Lipumba kaupinga muungano wa hivyo akisema ni hatari, wakati sefu anautaka huo huo. Kwakuwa bw. Mtatiro umo humu hebu njoo utueleze msimamo wa chama kwenye hili ni upi.

mtatiro unafanya nini huko cuf??si ungehamia ccm ijulikane moja.maalim sasa anakula bata.
 
Baada ya mabomu kutokea na kuhairisha uchaguzi wa kata 4 pale Arusha, chama cha wananchi (cuf) kupitia mwenyekiti wake profesa lipumba kilisema mabom yalitupwa kwa ajili ya kuikosesha cuf ushndi katika kata hizo ambazo walikua eti na uhakika wa ushndi. Vipi sasa kuhusu kuburuzwa kwnye matokeo ya jana mmehujumiwa tena?

Hapana hatujahujumiwa ila swaumu kali si unajua tena Mwezi mtukufu huu.
 
mtatiro unafanya nini huko cuf??si ungehamia ccm ijulikane moja.maalim sasa anakula bata.

mkuu mtatiro kuhama Cuf hadi Lipumba amruhusu. Nasikia mtatiro yupo pale kulipa fadhila kwa Lipumba aliyegharamia masomo yake chuo.
 
huyu lipumba naye siku hizi sijui ndio umri unaanza kuyoyoma au ndio madesa yanapaa beyond limit?
 
ukiwa mliberal unategemea nini! !

Na hapo ndo akili ya kiliberali ilipoishia, profesa mzima anatoa statement za kipuuzi tena wakati waTanzania tukiwa katika majonzi ya kupigwa na mabomu. Hakika kama akili ya maprofesa wetu imeishia hapo ni hatari wa mustakabali wa taifa letu!
 
Mtikila nae aliongea upuuzi nafikiri wananchi wa Arusha wamemjibu, a perfect answer for a nonsense question!
 
Cuf inafaa wajipange upya maana hali ikiendelea hivi wataendelea kupata aibu kila unapotokea uchaguzi.
 
Kwanza nimesikia Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba ametofautiana kimtazamo & kimsimamo na Katibu wake maalim Sefu kwenye Rasimu ya Katiba kuhusu Muungano wa Mkataba. Lipumba kaupinga muungano wa hivyo akisema ni hatari, wakati Sefu anautaka huo huo. Kwakuwa Bw. Mtatiro umo humu hebu njoo utueleze msimamo wa chama kwenye hili ni upi.

Kama huyo Juma Mtatiro mwenyewe hajielewi ataweza kutoa msimamo gani...

H
 
Baada ya mabomu kutokea na kuhairisha uchaguzi wa kata 4 pale Arusha, chama cha wananchi (cuf) kupitia mwenyekiti wake profesa lipumba kilisema mabom yalitupwa kwa ajili ya kuikosesha cuf ushndi katika kata hizo ambazo walikua eti na uhakika wa ushndi. Vipi sasa kuhusu kuburuzwa kwnye matokeo ya jana mmehujumiwa tena?

Cuf-ccm b hawashiriki uchaguzi ili washinde. Wanatumwa na ccm a ili kupunguza kura za CDM na kuwezesha ccm a kushinda kwa kutumia formula hii...ccm a+ ccm b(cuf) = CCM(Magamba)
 
Back
Top Bottom