Ilikuwa alfajiri, saa 12 ya juzi, Jumanne wakati Juma (si jina lake halisi) na wenzake wawili walipokuwa wakiwahi kibaruani kwao. Juma ni fundi magari katika eneo maarufu la Mbuyuni wakati wenzake...
KWA UFUPI
Kiswil alidai kuwa mjumbe huyo hastahili kuendelea na kazi ya kusimamia mabaraza hayo kwa kuwa yeye pamoja na wajumbe wenzake kadhaa, hawana imani naye.
Waraka wa Chama Cha Mapinduzi...
Habari wana JF,
Habari zilizonifikia hivi punde kutoka kwa mpiganaji mmoja aliyeko Sudani ni kuwa wanajeshi takribani 7 wa JWTZ wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa pamoja na Askari...
Msaada: link inayoenesha/inajadili mipaka ya jamhuri ya watu Zanzibar kabla ya muungano, hasa territorial waters na exclusive economic zone. Natanguliza ahsante.
UBAGUZI baina ya vyama vya upinzani uliopata nguvu bungeni wakati wa kuanzisha Kambi Rasmi ya Upinzani chini ya CHADEMA, umeanza kutafuna chama hicho chenye ushawishi mkubwa kuliko vyama vingine...
BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, wametaka katika katiba ijayo kuwe na muundo wa Serikali moja, huku Zanzibar ikiwa ni moja ya mikoa ya nchi ya Tanzania na...
Wanajamvi naomba kuwataarifu kuwa ninapiga jalamba kwa ajili ya kugombea ubunge jimbo la Kigoma kusini kwa Tiketi ya chadema.Mimi ni msomi mwenye shahada katika fani ya uhandisi.
Mwezi wa kumi na...
Wanajamvi nimeona nitangaze nia yangu mapema ya kugombea urais 2015 kupitia CUF.Nitamwomba Mh.Prof. I.H.Lipumba aniunge mkono. Nina dhamira ya kweli na nia ya kuwatumikia watanzania kupitia chama...
Rais Kikwete ametoa agizo mamlaka zote husika zikae chini kutatua haraka mzozo wa kodi ya sim card ili kumaliza malalamiko ya wananchi.
Rais Kikwete ametoa agizo hilo jioni hii alipokutana na...
inasikitishasana jinsi ambavyo wasaidizi wa raisi kwamaamuzi yanayo kinzana juu ya maamuzi yakutoza kodi lineza simu baraza la mawazi linapo kaa waziri mkuu ndie mwenye kiti iweje leo makamba...
huhusu gesi tunajua japo kwa asilimia ishirini au selasini.
vipi kuhusu hayo mafuta tuliyoambiwa yamepatikana na utafiti unaendelea.
nijuavyo unavyoambiwa utafiti nikua watu wanajichotea...
Ujumbe wa Chama cha Mapinduzi Taifa,ukiongozwa na Katibu Mkuu A.Kinana,Nape Nauye na Martin Shigela umetembelea eneo la chuo cha Kufundisha Makada cha IHEMI mkoani Iringa.Lengo la ziara hiyo ni...
Kwa uzoefu nilionao kuhusu hotuba za J. K ni kwamba Ziara yake Bukoba imekusudia kumvaa Rwakatare
nasema hivyo kwasababu kuu tatu.
NAKUMBUKA hotuba yake ya mwezi iliyojaa vijembe zidi ya Lema...
Moja ya maelezo matamu ya kodi ya line za simu yaliyotolewa na Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ni kodi makhususi kwa kuendeleza umeme wa vijijini.Ieleweke wazi umeme si jambo la muungano hata...
JESHI la Polisi limeendelea kumlazimisha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe awasilishe kwao ushahidi wa kuhusika kwa jeshi hilo na mlipuko wa bomu uliotokea...
"CCM yapeleka balaa mikutano yaKatiba ; Waraka wake wazua tafrani Iringa" Waraka wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wanachama wake kushinikiza watetea matakwa ya chama hicho kwenye maoni yao katika...
Wakuu,
Kama mwananchi wa TZ ninawakilishwa katika nyumba ya kutunga sheria na mbunge ambae alipata kura mingi kumtosha akatuwakilishe,cha ajabu ni analala,kawa bubu,haulizi swali wala hajibu...
Kodi simu ni 1000/= tu kwa mwezi
atiiiiii 34/= kwa siku ........
....wanalalama ?
....kweli hawawezi kuilipa hawa ?
....si bure wametumwa hawa au
kuna wanasiasa wanawashawishi ili...
*Wataka Serikali iwajengee nyumba, isomeshe watoto
*JK kupeleka ombi UN, AU sheria zibadilishwe
WAJANE wa askari saba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wameililia Serikali iwasaidie...