Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,242
Kama mapendekezo yaliyomo kwenye Rasimu ya Katiba ya kutaka kuwa na bunge la Muungano na kila mkoa wa Tanzania kutoa wabunge wawili kwa uwiano wa mmoja mwanamke na mmoja Mwanaume yatapita, CHADEMA itaweza kushinda kwenye Mkoa gani wa Tanzania? Watu wa Lojistik tusaidieni.