Katika kuhitimisha ziara yake ya takriban ya siku tano mkoani Kagera Rais Jakaya Kikwete amesisitiza umuhimu wa kujengwa kwa soko jipya linaloendana na Ulimwengu wa kidigitali kuliko kung'ang'ania...
Kwa utafiti nilioufanya,
Tanganyika bado itabaki ccm na kule zanzibar cuf
wataingia madarakani. Unaweza kufanya utafiti mzuri kwa
kuweka ushabiki wa vyama pembeni.
NB:KILA MTU ANAWAJIBU WA...
Katika kile kinachoonekana kutapatapa kwa CCM Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nauye amekishushia tuhuma Chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Akizungumza katika kongamano la katiba jana...
WanaJF!
Katibu mkuu wa CCM, bwana Kinana, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu msemo 'nguvu ya umma' kwani msemo huu umekuwa ukitumiwa kimakosa na CHADEMA.
Bwana Kinana kama ilivyo ada kwake, uwa...
CCM wanazidi kupoteza kura. Kwa bahati mbaya wanazitafuta CHADEMA. Wanatumia polisi wenye bunduki na mabomu, wanapekua kila ofisi ya CHADEMA na kwenye nyumba za viongozi wa CHADEMA wakizitafuta...
IKIWA leo ni siku ya mwisho aliyopewa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Jeshi la Polisi nchini kuwasilisha ushahidi wa kuhusika kwa jeshi hilo na mlipuko...
Wana JF
Kumekuwa na taarifa zilizoshamiri hapa jamvini juu ya watanzania wenzetu wakiendelea kukamatwa kwa kushiriki katika biashara haramu ya Mihadarati (Madawa ya kulevya) katika pembe mbali...
Zamani enzi ya umri wa ujana wa kubalehe [Teen] tulikuwa tuna ufahamu wa kujua hata dira ya Taifa ambayo ilipewa na nembo ya Bibi na Bwana ikiwa na maneno UHURU NA UMOJA. Na mwasisi wa maneno...
Makamanda wenzetu wa chadema na wapenzi wa chadema kunawatu wanajua kwamba chadema temeke hakuna, napenda kuchukuwa nafasihii kuwapa ukweli wa mambo kwamba temeke chadema ipo na hivi sasa...
Kwa ufupi Unapofika katika kijiji cha Ntomoko katika wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma huhitaji kuambiwa ni tatizo gani kubwa linalowakabili wakazi wa kijiji hiki. Iwe ni asubuhi, mchana au jioni...
MBUNGE ATAKA MKUTANO MAALUM (DHARURA) WA JIJI KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA KUHUSU HALI TETE NA TATA YA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO (UBT)
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika amewasilisha barua kwa...
- Sio siri kwamba CCM tuna nafasi kubwa sana ya Kuandika Katiba mpya kwa sababu ndicho Chama kinachokubalika sana na Wananchi wengi na ndio chama tawala chenye nafasi kubwa na Mabaraza ya katiba...
Angalia Speech Ya Obama LIVE kutoka Ikulu Ya Dar es Salaam.
Ukiclick subiri sekunde 30 the video Itaanza Click Hapa CBS News, Ustream.TV: CBS News behind the scenes live news coverage...
HARAKATI za wanasiasa kutumia nyumba za ibada kufanikisha malengo yao zimemkera Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Shaaban Issa Bin Simba, ambapo amewataka viongozi wa misikiti (maimamu) wasizibebe...
Wakuu mchana wa leo kuna mjadala umefanyika DW, Kati ya kiongozi wa Bavicha, Kiongozi wa UVCCM, na wachambuzi wengine wa siasa wawili.Nimeusikiliza mara kadhaa; nashindwa kuelewa kama hawa...
Raisi kikwete hupo ziarani mkoani kagera
1.kufungua barabara alizoahidi kwa kiwango cha lami kagoma-muleba-biharamulo-lusaunga
2. Kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa lami barabara ya kyaka karagwe...
TAARIFA KWA UMMA
CHADEMA WASHINGTON DC, MAREKANI YAPATA UONGOZI MPYA
Kikao cha Viongozi wa Tawi la Chadema Washington DC, Marekani, tarehe 27 July 2013 kimemteua Ndugu Kalley Ammy Pandukizi kuwa...
Ndugu,
as the globe in general is taking measures towards combatting the effects of money laundering and financial crime due to its paramount effect on a nations economy, one cant help to wonder...
WanaJF,
Leo Jumamosi, kuanzia majira ya saa 8, Mkiti wa CHADEMA, Freemam Mbowe, akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Zitto Kabwe atautikisa mkoa wa Tabora kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.