BANGABABO
Member
- May 15, 2013
- 93
- 28
Leo saa mmoja jioni ITV kipindi kipya cha MZALENDO alikuwepo Dr Slaa kaibu mkuu wa CHADEMA na Mhe Philipo Mangula makamu mwenyekiti wa CCM mazungumzo hayakuwa mazuru kwa kiasi cha kutosha yalikuwa ya upande mmoja wa chadema na upande wa pili wa ccm hayakuwa na weledi wakutosha wa kutowa elimu ya mambo yanayoligusa taifa, Dr Slaa katibu mkuu wa chadema anaonekana jasiri, anauhakika na anachosema, anajiamini, mhe Mangula makamu mwenyekiti wa CCM anaonekana kama mgonjwa, amejaa woga, anahuzuni, amezunguukwa na hofu na mambo yanayofanywa na watawala wa chama chake.
Kuzuba kwa mhe Mangula kunadhihirisha kauli ya mhe Tundu Lisu kwamba mfumo wa utawala unaoparaganyika unadhihirika hata kwa wakilishi kutoka ccm kutojiamini na kutokubali mialiko katika vyambo vya habari. Tunataka kusikia pande zote unasema nini kuhusu mustakabali wa yaleyanayotukabili katika taifa letu.