michael nyalusi
Member
- Jul 19, 2013
- 38
- 21
Ni katika hali isiyokuwa ya kawaida Mr Mbatia anaiomba serikali kuunda tume ya kudumu kwa ajiri ya kufuatilia maswala ya elimu kwa kile anachokiita yeye ni ubabaishaji kwenye sekta ya elimu uku akijisahau kwamba kuunda tume ni majanga yale yale ya siku zote. Mbatia jipange kwanza ili ulete maoni yenye kutuletea tija wananchi wote, mimi kwa sasa naona kana kwamba unajitafutia ajira ya kudumu maana unajua kwamba kama tume ya kudumu itaundwa basi wewe mwanzilishaji wa suala husika lazima uhusishwe tu.
kuna haja gani ya kuwa na tume ya kudumu wakati hata hizi za muda mfupi majibu hayaletwi? hapa ni kung'ang'ania wizara ya elimu isiendeshwe kisiasa sana kama wizara nyingine na badala yake iwe kwa vitendo na miongozo yake ifuatwe sio kila siku kubadili badili miongozo. wizara hii iendeshwe na wataalamu wa elimu sio kujiokotea tu.