CCM kata ya Tabata hoi kwa Chadema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kata ya Tabata hoi kwa Chadema.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Martine Waziri, Aug 8, 2013.

 1. M

  Martine Waziri Member

  #1
  Aug 8, 2013
  Joined: Aug 5, 2013
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hatimaye CCM kata ya Tabata wapigwa bao na Chadema baada ya Chadema sasa kuanza maandalizi ya kuchukua dola kuanzia ngazi za chini mpaka juu baada ya kuanza kujenga ngazi ya misingi na matawi kwa kasi ya ajabu na kuwafanya makada na wanachama wa CCM kuhaha usiku na mchana kuhakiki wanachama wao ambao waliowengi wamerudisha kadi za CCM na kuchukua za CHADEMA jambo ambalo linaleta taswira ya Chadema kushinda ktk chaguzi zote zitakazofanyika ktk Kata hiyo.
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2013
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,464
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Martin wakuu wamekuona juhudi zako, subiri malipo.
   
 3. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2013
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,957
  Likes Received: 851
  Trophy Points: 280
  kuna mtu humu jamvini anai-miss m4c.
   
 4. Deshmo

  Deshmo JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2013
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 4,674
  Likes Received: 3,355
  Trophy Points: 280
  Watoroke waje..! Wawaachie wauza "unga" lichama lao
   
Loading...